Maandamano ya chadema ni ya msingi tusiyapuuze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya chadema ni ya msingi tusiyapuuze

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Feb 25, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF maandamano ya Jana MZA ni ya msingi. Kweli vitu vimepanda sana bei Na Viongozi wetu hawajui wamelala usingizini tu. Lakini tuangalie nini kinasababisha Vitu kupanda Bei Je ni umeme au Mafuta. Hapa tunasema vyote lakini kikubwa ni umeme. Viwanda hapa nchini vimepunguza uzalishaji kwa hiyo CHADEMA kuandamana na hakuna fujo si vibaya sisi kama WATZ TUBADILIKE tusiyapuuze haya maandamano hata Rais JK atayafanyia kazi baadhi ya mambo ndio maana ameruhusu haya maandamano hapo tumpe PONGEZI.

  Maana serikali inabd ukumbushwe na kama haitawaeleza WATZ kwa nini vitu vinapanda bei na kuna baadhi ya watu wanahoji kwa nini sukari ipande bei Mfano mmiliki wa Viwanda vya MTIBWA. Sisi kama Watz tujiulize haya maisha mwaka jana yalikuwa hivi na je tufanye research je wenzetu kenya au uganda au rwanda ambao hawana hata bandari wakoje kimaisha hali ya ugumu wa life ni sawa kama BONGO.

  NAWASILISHA HOJA KAMATI ZETU WAZIFANYIE KAZI HIZI NOTE KUTOKA CHADEMA NA CUF
   
Loading...