Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,655
- 107,089
Sasa munataka kureta fucho! Munataka "mang'ana gasarikire"?
acheni ushabiki.. wanaandamana kwa ajili ya nini.
Mwongo mkubwa wewe hauko Mara, Mara hawakai watu waoga kama wewe... Source imeandikwa hapo George Marato wa IPP media sa unataka source gani tena? Vita ni Vita Muraaaaaa. Go Chadema Go hadi Mkwere aikimbie nchi akajisalimishe kea OcampoMimi mdau niko Mara siyajui haya kwa nini? lete source vinginevyo hii ni feki!