Kumbe unabisha wakati ukweli unaujua. Akhsante sana. Ukiongea tena zaidi ya hapa utaharibu, nakushauri ukae kimya ndugu umeongea point nzuri kuliko point zote zilizotolewa kwenye thread hii. Big up.
Niko hapa tangu mwaka 1986. CHADEMA ni ya lini? Imewahi kuwa chama TWAWALA?
Ruzuku hii inatumikaje ndio concern yangu na Watanzania masikini wa nchi hii ambao baadhi wanaandamana huko Mbeya bila hata kikombe cha chai tangu asubuhi ya leo na hata kesho baada ya maandamano haya.
Fanyeni yale ambayo CCM hawafanyi. Kwa mfano baada ya maandamano ya leo mngekabidhi madawati 500 jimbo la Mh Sugu. Mnaandamana tu utadhani NGO!
Mwaka wa kuzaliwa! Tumekusamehe umri wako uko sawasawa na mawazo yako.
Swala la uhamasishaji na ukuzaji wa ufahamu kwa wananchi ili waweze kufahamu umuhimu wa wao kudai haki zao ni la msingi sana,wewe mwenyewe unaona wananchi walivyo na hasira hata kwa vitu vidogo,sasa wakiwezeshwa kutumia njia ya amani ya kudai haki zao huoni kwamba ni jambo la msingi WillcardRuzuku hii inatumikaje ndio concern yangu na Watanzania masikini wa nchi hii ambao baadhi wanaandamana huko Mbeya bila hata kikombe cha chai tangu asubuhi ya leo na hata kesho baada ya maandamano haya.
Ruzuku hii inatumikaje ndio concern yangu na Watanzania masikini wa nchi hii ambao baadhi wanaandamana huko Mbeya bila hata kikombe cha chai tangu asubuhi ya leo na hata kesho baada ya maandamano haya.
Hivi sasa ndo tumetoka kuzindua tawi la wanafunzi chuo kikuu cha Teofilo Kisanji.Tunaelekea kuzindua Ofisi yao Majengo tukitoka hapo tunaendelea na maandamano kuelekea uwanjani.Watu ni wengi sana.Aluta Continua.Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.
Ritz ni haki yao ya kikatiba ili mradi hawavunji sheria na hakuna anayelazimishwa yule anayeona yuko kazini au shambani hata shiriki maandamanoHivi hawa Chadema sisi Watanzania tunawashangaa sana kila kukicha maandamano, saizi watu wapo makazini, viwandani, mashambani, wao wapo barabarani wanafanya usumbufu kwa Watanzania, wanatumia vibaya pesa zetu walipa kodi 'ruzuku' wanagawana posho kila baada ya maandamano. viongozi wa juu Dk Slaa na wenzake kila mmoja poso yake milioni mbili, hawa wengine kina Lema na wenzake milioni moja, huyo dada mbunge wa kupewa wa maandamo Regia Mtema yeye na wenzake laki tano, huyu dada yeye kila kukicha kiguu na njia kwenye maanamano, hili swala Zitto akubaliani nalo ndio maana umuoni kwenye maandamano yao, Chadema wamenifikiwa lakini kwenye maandamano kimekuwa chama cha kwanza dunia kufanya maandamano mengi wastani kila mwezi wanaitisha maandamano. wamo kwenye Guinness book Record in the World, chama cha maandamano
Nawambieni CHADEMA msipoonyesha kwa vitendo kufanya yale ambayo CCM yamewashinda, watu wa kawaida watashindwa kuwatofautisha nao. Maandamano hata CCM wanayaweza sana. Onyesheni kwa vitendo na kauli zenu kwamba mnaweza kuyabadili maisha ya Watanzania hata kwa ruzuku hii ndogo mnayopata.Haya ni mawazo ya ki CCM na hasa malaria sugu, GOP au Conservative wamewahi kutoa msaada kwa nani kwa miaka yote 150 ya uhai wake. Si kazi ya vyama vya siasa kuanza kugawa madawati au pipi. Hii kazi ina wenyewe na kazi wameshindwa sasa unataka chadema waingilie kuokoa jahazi. Kazi ya CDM ni siasa mzee kama unasubiri lawyer aje akutibu kitandani unaumwa nakwambia ndugu yangu wewe subiri kufa tu!
Na nchi hii inaelekea huko huko
Hivi hawa Chadema sisi Watanzania tunawashangaa sana kila kukicha maandamano, saizi watu wapo makazini, viwandani, mashambani, wao wapo barabarani wanafanya usumbufu kwa Watanzania, wanatumia vibaya pesa zetu walipa kodi 'ruzuku' wanagawana posho kila baada ya maandamano. viongozi wa juu Dk Slaa na wenzake kila mmoja poso yake milioni mbili, hawa wengine kina Lema na wenzake milioni moja, huyo dada mbunge wa kupewa wa maandamo Regia Mtema yeye na wenzake laki tano, huyu dada yeye kila kukicha kiguu na njia kwenye maanamano, hili swala Zitto akubaliani nalo ndio maana umuoni kwenye maandamano yao, Chadema wamefanikiwa lakini kwenye maandamano kimekuwa chama cha kwanza dunia kufanya maandamano mengi wastani kila mwezi wanaitisha maandamano. wamo kwenye Guinness book Record in the World, chama cha maandamano

Hivi sasa ndo tumetoka kuzindua tawi la wanafunzi chuo kikuu cha Teofilo Kisanji.Tunaelekea kuzindua Ofisi yao Majengo tukitoka hapo tunaendelea na maandamano kuelekea uwanjani.Watu ni wengi sana.Aluta Continua.
jamami huyu ndugu na chama chake waliwaita vyama pinzani ni vya msimu.sasa moto wawaka wanabwabwaja