Ni aibu sana pale unapomuona mgombe ubunge kwa ticket ya ccm akiamua kuanzisha machafuko yasiokuwa na tija...baada ya kugundua atashindwa vibaya kwenye uchaguzi wa jumapili...... Mimi namjua sana huyu kijana hat a utajiri wake ni wa mashaka sana....hii ni jamii ya kina riz1 kikwete.....wanamoshi MSIMPE KURA DEVIS MOSHA aka YAHYA
mbaya zaidi baada ya maandamano kufika kwa mkuu wa mkoa, amewafukuza amesema hataki kuona mtu hapo nje ya ofisi yake, hasa ukizingatia ni juzi tu mkuu huyu wa mkoa ametangaza kuwa hali ya moshi ni tulivu sana.
Ni kweli kabisa Daudi. namfahamu jamaa moja ameachana kabisa na hizo pesa zake kwasababu ya vurugu za Davis. Alikuwa ni mpambe wake kweli na alivuta za kutosha. Ameona anaingiza chuki kwa washikaji zake wa kitaa wakati uchaguzi mwisho tarehe 25. baada ya hapo utakaa vipi mtaani na washikaji umeshawavuruga? Amechomoa
Tunajua Tunachokitaka, Miaka Hiyo Ya Nyuma VYAMA Vikubwa Vyote Kila Kimoja Kulikuwa Kivyake!! Kwanza Mnapambana Wapinzani Wenyewe Kwa Wenyewe, Zen Na CHAMA Tawala!! So Vurugu Tupu!! 2015 Viko Pamoja Twaimba Wimbo Tu Mabadiliko, Uzuri Na CCM Wamejiunga Ktk. Mabadiliko!!