..mtu wangu wa karibu ndani ya CCM amenieleza kuwa wanapanga maandamano hapa Dar kwenda ubalozi wa Uingereza.
..wanataka kushinikiza kwamba serikali ya CCM ipewe "change" iliyozidi ktk mauzo ya rada.
..maandamano hayo yataongozwa na NAPE,ANDREW CHENGE,na DR.IDRIS RASHID.
MALARIA SUGU akielekea kwenye mkutano wa Nape huko Mtwara, picha by jeykey wa ukwelihuyu naye atakuwemoMwenyekiti wa CCM kijiji cha Miwaleni Kilindi akielekea kwenye sherehe za kumpongeza BEATRICE kuchaguliwa kuwa mbunge
Kilikuwa kituko cha karne Chenge alipoulizwa na makachero wa Uingereza kuwa
US$5000,000 alizomlipa Idrisa Rashid zilikuwa za kazi gani alisema eti alimpa kama mkopo akaulizwa yeye
kama mwanasheria mzoefu aliwezaje kumkopeshb hela zote hizo bila maandishi mzee wa kisukuma akasema
mbona hivyo ni vijisenti tu!.
Kumbe hapo awali bila Chenge kujua awalisha mhoji Rashid akawambia zilikuwa za kununua fenicha lakini
alipotakiwa aonyeshe risiti za fenicha au fenicha zenyewe akaruka kimanga
Yani waibe wao halafu waandamane kudai chench!! Kwa kweli litakua jambo la kihistoria tanzania na dunia nzima
Hapo kwenye RED unaweza kufafanua, ni kiasi gani hicho?