Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

Ww wangapi walipewa haki yao kwa njia ya maandamano ww.......usi shadadie vitu usivyo vijuaaaa bhna tafuta njia nyingneee maana pale mtaishia kuchungulia tuuu nafikiri leo hata getin hamtaruhusiwa kuingia mbna elimu yenu haiwakomboi wangapi wameandamna bongo hapa...kudai haki zao kimya mpaka leo sembuse nyie pigen kelele hapa JF lakini utaambulia kunawaaa.....magari ya kifahali wataendesha maana ni wafanyakazi wameajiriwa....msitake kutwambia kuwa kipindi cha kugawa mkopo wa elimu ya juu shughuli zote zisimame eti hela iende kwa wanafunzi....ili mkifika chuo mkalewe kwa hela ya serikali....mkahonge dada zetu kwa hela ya serikali fyooooo najua ww unanichukia kwa kusema ukweli lakin daima mm nitakuwa mkweliiiiii huwezi pata haki ako kwa maandamano hapa bongooooooo never unashida nenda kaombe kwa upoleeeeeeeeee......leo si ndo imefika ngoja cc watazamaji tusubiriiiiiiiii

Ficha upumbavu wako, onesha busara yako
 
Mi nawaomba yawe ya amani ili yasije yakatokea mengine mabaya na kwa hao mnaowafata wasijifanye wao ndo wao wasikilize hoja na wajue jinc ya kutatua tatzo cyo kujenga tatzo lingne kubwaaa
 
poleni ndugu kwa kukosa mkopo. ila usiku unapozidi jua mwanga unakalibia.hii ndio tz bado tuko katika kipindi cha mpito hivyo yatupasa kufikili upya.
 
Nakumbuka kipindi nipo chuo niliteseka sana na hii kitu.mwaka wa kwanza nimpeta bila ya shida inakuja mwaka wa pili naambiwa huwezi kupata mkopo kisa eti nalipiwa na wizara ya fedha...imeniuma hadi leo siwezi sahau kwasababu nilienda kwny ofisi zao (heslb) kwa zaidi ya mara 15 bila ya msaada.

Acha tu..na mie sirudishi mkopo wao mpaka watakaponibaini nilipo shenzi hawa wanatusumbua na hela zetu.
rudsha hizo pesa uokoe kijana mmoja apate nayeye

Unaona sasa ww kunguni umekimbia na hela:eek:
 
Report kamili wameipata na barua zimesambazwa kwenye wizara huska, km ofisi ya waziri mkuu, waizara ya elimu, kesho mchakato unaendelea kama kawaida tu! Wizara ya Elimu pale, sector ya Elimu ya Juu!
 
Report kamili wameipata na barua zimesambazwa kwenye wizara huska, km ofisi ya waziri mkuu, waizara ya elimu, kesho mchakato unaendelea kama kawaida tu! Wizara ya Elimu pale, sector ya Elimu ya Juu!

vizur.
kwa hiyo kuna matunaini ya waliokosa kupata mkopo..?
 
Ni dhahiri inaumiza mabilioni ya fedha za walipa kodi wa nchi hii zinatumika katka matumizi yasyo rasmi, zimetumika pesa nyingi sana katika kamati ya kukusanya maoni ya rasmu ya katiba mpya, mwsho wa siku hakuna kitu kilichofanyika, Maelfu ya wanafunzi wanakosa mkopo wa elimu ya juu bila sababu ya msingi! Tukutane asubuhi ya Jumatano heslb! Julisha mwenzako! Solidarty forever!

Kwenye moja ya mabango yenu andikeni "serikali ikope fedha kwa ajili ya wanafunzi wake woote wanaokwenda vyuo vikuu kila baada ya miaka 4, mkopo huu utaweza kusomesha wanafunzi wote kwa miaka 4 mfululizo" Na kwa mnaokopeshwa mkumbuke kurejesha! hasa wale mnaojiajiri au kwenda sekta binafsi.
 
Kweli said!
 
Huyu atakua mjinga fulani tu, achana nae. Then kuna dada pale bodi alikua kavaa gauni la chui chui hivi baada ya mkurugenzi kupigwa maswali. Wakawa anaondoka na mkurugenzi wake wanaingia ndani nikamfuata yule dada namsimamisha akajibu mbovu yan ilikua kidogo nimzabe makofi kwa hasira mana ameonesha wazi dharau ya hali ya juu ni Mungu tu alinipa moyo wa uvumilivu, mara vijana wakawa wanamfuata mkurugenzi kwa speed nikasikia askariiii zuia hawa. wakambilia ofisini kwao. Kesho ikibidi tutalala pale pale.

nilimuona huyo dada ,mweupe hivi nyodo kibao kwa kodi za wananchi ukicheki pale wamepaki magari ya kifahari kibao ,halafu sijui alikuwa anafanya kazi gani pale maana sikuona cha maana,,Aisee It's unfair mtu katumia nauli kutoka mikoani halafu majibu yao simple simple wale jamaa
 
wengine 2ko mbali jama,
vp mliwauliza kuhusu mikopo kwa wale continuing students ambao account zao hazionyeshi ki2?
 
Back
Top Bottom