Wakati huu nikiwa Nina mikono na miguu lakini maisha ni magumu, itakuwaje pale polisiccm watakapo fanikiwa kutenganisha/kudhoofisha moja Kat ya viungo hivyo na mwizi wangu?
Utakufa na stress bure wewe sio kila kitu nis serious vingine mizaha tu halafu hukuona quotation mark hapo
Huyo ni Lecturer mmoja hivi UDSM ndiye anasemaga hivyo