ha ha haa! that's a good one!Tuandamane kwenye fesibuku na twira..
Ww ni kichwa majiNdo utakoma sasa, mi binafsi namfuata JPM. hiyo katiba kama unayo chumbani kwako ifuate peke yako. kama katiba inakuruhusu maandamano, andamana uone JPM atakavyokutengua taya. mjinga wewe, kusoma hujui hata picha huoni.?
mahakama yenyewe ndio haipo huru au haijitambui.watakatishaji pesa za escrow wanapewa zamana,wanaokamatwa na silaha hupewa dhamana ila anayeota ndio ana tenda kosa kubwa kuliko yote hayo nahastahili dhamana. ha ha ha ha kigumu chama cha chetuHuko ni kuingilia Uhuru wa mahakama.Ila km unakereketwa na kifurukutwa sana na hali hiyo basi andamana.
Kuandika kwenyewe hujui mbulula wewe!Aisee chakwanza kabxa akkxha dheria unazfahamu ndo uandamane
Ww ni kichwa maji
Yaelekea huna kazi ya kufanya.Chukua familia yako(kama unayo)au wajinga wenzako muandamane,na kitakachowapata hamtasahau kamwe.What is lema.Let him rest there forever,dem shit.
Cowards, mnaandana vyumbani kwenye keyboards.Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
Anza Wewe mbona Sijasikia mchaga aliyekufa kwenye maandamano ya chademaHata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
Mungu atasaidiaHaki itendeke
Nikweli mkuu ila itakuwa na tija ikiwa kamanda lowasa naye atashiriki nasi kwenye hayo maandamano.Wazo zuri.
We kweli Ni zero halafu unajiita mwanaume, fyuuuuuuEndeleeni kudanganyana nyie mab.oya! Hivi ajali za barabarani zimeletwa na magufuri?! Ndo maana imekuwa rahisi kweli kwa zero wa form six kuongoza hicho chama, maana hamna wenye akili!!!
Kila kesi ina namna yake.mahakama yenyewe ndio haipo huru au haijitambui.watakatishaji pesa za escrow wanapewa zamana,wanaokamatwa na silaha hupewa dhamana ila anayeota ndio ana tenda kosa kubwa kuliko yote hayo nahastahili dhamana. ha ha ha ha kigumu chama cha chetu