Mabadiriko ni Mimi nawewe sio tusubiri mbowe na haya maandamano niya amaniYaani unawashawishi watu wafanye maandamano kienyeji tena bila kibali waanze kwanza viongozi wa chama na nyie wanazi wa Lema wengine watafuata kuliko kujitia kihelehele wakuu wenyewe wa chama wamekaa kimya hawaoni umuhimu wa maandamano?
Sipo nyumbani tz kwa sasa ningekuwapo ningeanzisha vuguvugu hili maandamano ya amaniPia hata kauli yako ni ya uchochezi hapo unaposema kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane swali langu ni wewe ukiwa wapi hadi ushawishi waungane from no where? Mabadiliko yanaanza na wewe anza wewe kwanza.
Kwanza futa kauli yako kuniita mke wa Lema Mimi ni Mwanamume,we nae sijui una matatizo ya kusahau sahau. we hukumbuki JPM alipiga marufuku hayo maandamano na viongozi wako wote Lowasa, Mbowe na wengine wote hata huyo Lema mwenyewe wakatii amri.
sasa hizi ndoto zako tena za maandamano umeziota saa ngapi.? au wewe ni mke wa Lema unataka kuwapima upepo UKAWA wana msimamo gani.? Nakushauri tuu, acha ndoto zako hizo za ajabu ajabu.
Hoja ya msingi sio sheria unatumiaje rasilimari za wanyonge kupambana na lema huku mahospital hayana Dawa hakuna madawati mashuleni inatumika nguvu kumnysnyasa LemaWatu kama nyie ndo mnafanyaga nitaman watu wote duniani wangesomaga sheria ili ujue utendaji wa mahakama ukoje
Ila kwa kuwa ndo basi tena fanya kapitie hizi Article za Katiba Art 107A na Art 107B ndo urudi kupost matope yako umu
Una aibisha huo ubini wa Mollel hakuna Masai wa aina hiiYaelekea huna kazi ya kufanya.Chukua familia yako(kama unayo)au wajinga wenzako muandamane,na kitakachowapata hamtasahau kamwe.What is lema.Let him rest there forever,dem shit.
Usituchukulie poa ,"kitanda changu kilaza degree 7 ,4 za kwangu 3 za mke wangu na ukiona gari langu linapita Manzese piga simu polisi litakuwa limeibiwa "Endeleeni kudanganyana nyie mab.oya! Hivi ajali za barabarani zimeletwa na magufuri?! Ndo maana imekuwa rahisi kweli kwa zero wa form six kuongoza hicho chama, maana hamna wenye akili!!!
Hoja ya msingi sio sheria? Mkuu uko serious kweli???Hoja ya msingi sio sheria unatumiaje rasilimari za wanyonge kupambana na lema huku mahospital hayana Dawa hakuna madawati mashuleni inatumika nguvu kumnysnyasa Lema