Amenyimwa lini dhamana? Kwa nini amenyimwa dhamana?Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.
Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Endeleeni kudanganyana nyie mab.oya! Hivi ajali za barabarani zimeletwa na magufuri?! Ndo maana imekuwa rahisi kweli kwa zero wa form six kuongoza hicho chama, maana hamna wenye akili!!!Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
Watu kama nyie ndo mnafanyaga nitaman watu wote duniani wangesomaga sheria ili ujue utendaji wa mahakama ukojeKama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.
Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Nakuhesabu wewe hivi sasa unatafutiwa selo ya kuwekwa gereza lililo jirani yako maana wakati wowote utakamatwa, na hao wenzio utakaowaacha nje labda waandamane na comments htďďumu Jamii Forum.Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
Umeanza vizuri ila hapo tu kwenye BOLD pana shida kidogo, acha unafki na nidhamu ya woga.Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.
Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Kinacho fanyika Si sawa kwanini Serikali itumie gharama kubwa kwa Lema pasipo sababu kosa kubwa la Lema ninini?Unataka kushinikiza na kuingilia uhuru wa mahakama? Mahakamani ni nguvu ya sheria sio nguvu ya umma.Usichanganye mambo.
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.
Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Mkuu ni kweli ukizaliwa utakufa haipaswi kuogopa chochote hata Egypt wakakati wa maandamano ya kumpinga Mubarak wengi walikufa na wengine walisonga mbele.Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .