shalom, are you around? Tarehe saba mwezi huu Shalom aliweka bandiko humu JF: Tuandamane mpaka ikulu
Kuna copy inatembea mtaani nimeona ni vyema kuiweka hapa.
Nimei-type, kwahiyo huenda kuna makosa ya uchapaji.
Tafadhali, pamoja na kutoa maoni yako kuhusu bandiko hili, zingatia kuainisha maboresho ambayo ungependa yafanywe na waandaaji wengine next time.
Amani iwe nanyi!
Lazydog
.
Mnanivunja mbavu!!! Hivi nyie wana JF mnamjua huyo Rafael aliyesaini hilo Tangazo!!! Ni vyema mkachukua tahadhari mapema hata kama mtaamua kushiriki hayo maandamano. Huyo Jamaa ndio wale wanaojiita "usalama wa taifa", kumbe wanalinda usalama wa mafisadi. Namba chafu sana hiyo. Mtakaoshiriki Good luck but watch out guys.
jamanieeee hicho kibali kimeshapatinaka .. mimi mwanangu bado mdogo ... nikiwaza lile gari kama faru, napata kiwewe ... nasikia linatema maji yanawasha hayo ... nitawasuburi tu nyumbani ... nyie nendeni