Wanafunzi wa elimu ya juu Uingereza wanaendelea kuandamana wakipinga ongezeko la ada. Walimpigia kura Nick Cleg kuunga mkono sera ya chama chake kuhusu elimu kwa wote. Wanamlaumu Nick kujiunga kujiunga katika serikali ya umoja wa kitaifa hivyo kusaliti wapiga kura wake.
Pengine hili linatoa mfano kwa wanafunzi wa elimu ya juu wa Tanzania namna ya kudai na kutetea haki zao na vizazi vijavyo
lakini mfano huu nadhani pia unatoa funzo kwa wale wachache wanaoshabikia serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa upana wake, mfano huu unaashiria kwamba nguvu ya upinzani ikipungua bungeni, nguvu hiyo inahamia mitaani.
why waste time with a foundation degree go do an Acess course it qualifies you straight into a degree after that its free and one year. Or do a diploma for two years for free at a college and then go to uni for one year. Foundation degree is a waste of time. Im out.mie i agree with you Contena waingereza washenzi sana,wanaweka system/policies za kuwaprofit wao tu...
mwaka uliopita nilikosa chuo,nilichoapply kusoma foundation year...kisa tuu wanataka international students ambao wanalipa hela nyingi...na mie ni homestudent
na ukiangalia vyuo vingi,wanascrap foundation year,wanabaki na international foundation year ili waingize pesa nyingi...:redfaces:
why waste time with a foundation degree go do an Acess course it qualifies you straight into a degree after that its free and one year. Or do a diploma for two years for free at a college and then go to uni for one year. Foundation degree is a waste of time. Im out.[/QU
Thesedays,the population is too big for university places,as result soo many students dont get a chance to get university place...i think priority is given to those who did A levels and perfomed well,if you do access course you will be left hanging....foundation year guarentees you a university place!
You need to do your research on the Uni ur trying and foundation courses are bound to be popular with younger home students and experienced workforce. However if you did your research access and the diploma are the way. Especially with diploma by the third year when you want tp go to Uni there are huge dropouts so a chance wont be a problem and a lesser debt at the end.Thesedays,the population is too big for university places,as result soo many students dont get a chance to get university place...i think priority is given to those who did A levels and perfomed well,if you do access course you will be left hanging....foundation year guarentees you a university place!
Ni kweli inaweza hamia mitaani, ila sio mitaa ya Tanzania, kwa ufupi Tz hakuna demokrasia ya kweli, ukifanya hivyo mtaishia jela kuwa intimidated au hata RIP!
Tuna safari ndefu Tz ya kujifunza demokrasia ya kweli inakuwaje.
Contena,
Your cost of education projection and its implication to later life has added another dimention in my understanding of this issue whichi I would not have imagined, thank you.
The question in this thread now is if Tanzanian students are equiped to put policies and political processes in broader equation, hence fight for their life now and in the future.
I would also appreciate a response from Tanzanian students studying in tz
For Tanzanian students its hard to do that, although majority wishes to. This has been due to family backgrounds., mojority of students come from poor and average families and hence hasitate to dare do anything against the ruling class fearing to loose their golden university chances &disappoint their poor families.. Its a long way for tanzanian youths to change their attitudes and make a move unless measures are taken, take an example of Mzumbe University., students are behaving as if they are secondary school students....
Wanafunzi wa elimu ya juu Uingereza wanaendelea kuandamana wakipinga ongezeko la ada. Walimpigia kura Nick Cleg kuunga mkono sera ya chama chake kuhusu elimu kwa wote. Wanamlaumu Nick kujiunga kujiunga katika serikali ya umoja wa kitaifa hivyo kusaliti wapiga kura wake.
Pengine hili linatoa mfano kwa wanafunzi wa elimu ya juu wa Tanzania namna ya kudai na kutetea haki zao na vizazi vijavyo
lakini mfano huu nadhani pia unatoa funzo kwa wale wachache wanaoshabikia serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa upana wake, mfano huu unaashiria kwamba nguvu ya upinzani ikipungua bungeni, nguvu hiyo inahamia mitaani.
Hao wanafunzi ni wapumbavu tu ambao wamekuwa mislead na mijitu mijinga. Ukiangalia kwa undani hawana sababu ya kulalamika kuelekea mfumo mzima wa education fees na grants. Wao wana issue nyingine tu ... .... kama ni mfuatiliaji wa maswala ya kisiasa nchini Wingereza utaligundua hilo.
asante mkuu, labda kama ungejizuia kuwatukana na kutuambia basi ni nini hicho wanachopigania?
Unaufahamu mfumo wa fees na grants kwa Home students wa UK kabla hatujaendelea?