Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
Baada ya wanaharakati kuwekwa ndani, wamejitokeza vijana wengine wenye nguvu na utashi kuongoza maandamano hayo, kikosi hicho kinaongozwa na kijana machachari ambaye amejipa jina la ALSHABAAB kijana huyo amesikika akisema "maboko na mkandala kama mnataka kufukuza wanafunzi, mnifukuze mimi kwanza, mimi Alshabaab niko tiyari kufukuzwa, niko tiyari kufungwa kibidi kufa nikiwatetea wenzangu walioko maabusu" kijana huyo amesikika akisema.kijana huyo inasemekana anatafutwa na polisi kwa kujiita Alshabaab.hadi sasa hali ni mbaya, polisi walivamia na kutawanya wanafunzi, maeneo yote ya chakura yamefungwa na masomo hakuna.
wewe pia tatizo mbona unapuuza matatizo yao?Utoto unashida sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo
Kwanza Mimi siwapendi Al-Shabab maana ni Magaidi hawana Ubinadamu kabisa hivyo hata mtu akijiita hivyo jua ni wale wale waliokunywa uji Wa Mgonjwa.
Huu ndo uwezo wako? unataka kuniambia wanafunzi wote wa UDSM ni wenetu na wadogo zetu? Ikitokea kesho na kesho kutwa Rejao unaenda kupiga kozi fulani pale utaingia kwenye kundi la wenetu na wadogo zetu?Utoto unashida sana. Jamani tuwafunze hawa wenetu na wadogo zetu. Hawajui walifanyalo
amewalipua vichwa vyaoHuyo al-shabab mbona hata hajateka Mkandala au kulipua kituo cha polisi.