"Maandamano na Mikutano ni Tishio Kubwa kwa CCM na Mafisadi" Risasi Zitawageukia Wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Maandamano na Mikutano ni Tishio Kubwa kwa CCM na Mafisadi" Risasi Zitawageukia Wao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 7, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wananchi Mpaka Sasa Tumeona Jinsi Gani CCM Wanaogopa Maandamano na Mikutano ya Sisi Wananchi. Kuna Vitu Vingi Sana Vinawasumbua CCM kwa Sasa na Moja Wapo ni Tishio Kubwa "MAANDAMANO" Viongozi wa CCM na Mafisadi Wanaogopa Sana Maandamano Kwa Sababu Zifuatazo: CCM Wanaogopa Sana Kuonekana Umati Mkubwa wa Watanzania Wakikusanyika Kuonyesha Kupinga Wizi wa Kura, Ujambazi wa Dowans na EPA, Ujangili wa Migodini, Wizi na Udanganyifu Bank Kuu ya TAIFA na Utejelezaji Mbaya. Kitu Kingine Kimejitokeza Sasa ni Kupigwa Risasi na Kuuliwa kwa Watanzania Wenzetu Arusha. Umati mKubwa Unawaumbua CCM Kweli Waliiba Kura, Nani Aliwapigia Kura Kama Miji Yote Wanajiunga Kuundamana? Inaonekana Kila Siku CCM Inajiongezea Makosa ya Kwenda Kuzimu. Wananchi Tunajua Madikteta Wengi Sana Duniani na Hasa Hata Tukiangalia Zimbabwe ni Hivi Mugabe Hataki Kabisa Wananchi Wake Waandame na JK Vivyo Hivyo. Maandamano na Mikutano Hadharani Siku Zote ni Pigo Kubwa kwa Vyama Kama CCM. Wananchi Tusikubali Jk na Mafisadi Waendelee Kuzui Haki za Binadamu na Wananchi Wake. CCM Hawaelewi Chama cha Upinzani Kikienda Kujaza Fomu za Maandamano Permit Sio Kuomba Uhalali Ila ni Kutaka Polisi Walinde Wananchi Wanapo Onyesha Support ya Courses Zao. Mwema na JK Kweli Mumewasha Moto This Time. Wananchi Tujiandae Kwenda Mitaani Miji Mingine na Tutafanya Hivi Mpaka JK Aandoke Ikulu. Wananchi Tunawapa Ushauri Jeshi la Polisi Tunataka Mtulinde na Hii Kazi Sio Mmepewa na JK ni Wananchi Wamewaajiri na Mkumbuke Raisi Dr Slaa Akiingia Ofisini Mtachukuliwa Kisheria Kama Hawa Mafisadi, Jeshi la Polisi Angalieni Nani Anawalipa Mishahara na Ajira Yenu. "Maandamano Yanakuja Mji Wako Hivi Karibuni Wananchi"

  EU Guidelines on Human Rights Defenders
  http://www.undg.org/archive_docs/1-The_UN_System_and_Human_Rights__Guidelines_and_Information_for_the_Resident_Coordinator_System_-_The_UN_System_and_Human_R.pdf  " Maandamano ni Kifaa Hatari kwa Mabeberiu na Wezi wa Taifa Letu"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. f

  furahi JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kinachofurahisha ni kwamba waandamanaji na wapenzi wa CHADEMA waliojitokeza wana true / unconditional love kwa chama chao kwani hawakupewa pesa, wala tshirts wala kanga wala kofia,wala hawakubebwa kwenye mabasi na wameandamana baada ya uchaguzi kuonyesha kwamba pamoja na kampeni za uchaguzi kuisha bado hawahitaji malipo yoyote kukishabikia chama chao kama "wapenzi wa CCM" walivyozoea kufanya.Hii ndio tunayotaka na CCM waone jinsi gani umma ulivyo radhi kwa CHADEMA.
   
Loading...