Nimeongea na jamaa yangu ametoka vijijini lalago maswa.Kaniambia umati uliopo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Maswa, watu ni wengi sana ni bahati mbaya hawezi kupiga hata picha akaturushia kwani ni mchunga ng'ombe tu lakini kaamua kutoka kijijini kuja kuhudhuria maandamano na kumuona Rais wa watu asiye na ikulu.Kanieleza mji wa maswa umefurika haijapata kutokea.SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA WAJAMENI HATA WA VIJIJINI WAMEJUA HAKI ZAO!!!!!!!!!!!
Please mwenye uwezo wa kutuma picha afanye hivyo kwa mliopo ktk msafara.
" ndugu wananchi muwapuuze CDM maana maandamano yao ni hatari kwa nchi" hiyo ni nukuu ya mh. raisi kwenye hotuba yake. sasa wananchi wamekupuuza wewe mkuu, wanazidi kuisuport CDM sana, ni kama jana uliwachochea.
Nimeongea na jamaa yangu ametoka vijijini lalago maswa.Kaniambia umati uliopo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Maswa, watu ni wengi sana ni bahati mbaya hawezi kupiga hata picha akaturushia kwani ni mchunga ng'ombe tu lakini kaamua kutoka kijijini kuja kuhudhuria maandamano na kumuona Rais wa watu asiye na ikulu.Kanieleza mji wa maswa umefurika haijapata kutokea.SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA WAJAMENI HATA WA VIJIJINI WAMEJUA HAKI ZAO!!!!!!!!!!!
Please mwenye uwezo wa kutuma picha afanye hivyo kwa mliopo ktk msafara.
Nimeongea na jamaa yangu ametoka vijijini lalago maswa.Kaniambia umati uliopo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Maswa, watu ni wengi sana ni bahati mbaya hawezi kupiga hata picha akaturushia kwani ni mchunga ng'ombe tu lakini kaamua kutoka kijijini kuja kuhudhuria maandamano na kumuona Rais wa watu asiye na ikulu.Kanieleza mji wa maswa umefurika haijapata kutokea.SAA YA UKOMBOZI IMEFIKA WAJAMENI HATA WA VIJIJINI WAMEJUA HAKI ZAO!!!!!!!!!!!
Please mwenye uwezo wa kutuma picha afanye hivyo kwa mliopo ktk msafara.
""NAMUUNGA MKONO DR WILLIBORD PETER SLAA AGOMBEE URAISI 2015""
JK anazurura hovyo hovyo kila nguvu ya umma ikipamba moto tz. Ujanja wake ni kwamba kama nguvu ya umma ikiingia ikulu basi huko alipo waamue kumuhifadhi huko huko. Anajua nguvu ya umma ikimkuta Ikulu hakuna nchi itakayomkaribisha
Walipokuwa wanasema vyama vya upinzani visiishie mjini tu viende vijijini walidhani havitafika, sasa vimeenda wamebadirika tena wanasema virudi mjini vijifungie bungeni.
Kikwete ajue kwamba yeye ni mtu wa maneno tu, na hakuna anayeogopa maneno yake anymore...
Usikute hata sasa tunahangaika tu, keshasahau aliongea nini jana!....
Tuna hasara kubwa sana , hakyanani!