Maandamano Malawi

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Pale serikali inapozuia maandamano kisha wapuuzi fulani wakaona yana manufaa kwao
 
Leo kumekuwa na maandamano kwenye mitaa kadhaa ya Miji mikubwa ya malawi maandamano ambayo yaliaminiwa kuwa yatakuwa ya amani na walio yaitisha yamegeuka kuwa hasara na uharibifu wa mali za watu.!

Je hiki ndicho kilichokuwa kinaliliwa na wafuasi wa Mange Tanzania pia?
 
hata wewe ni mpuuzi,uwezi kumwita mtu mpuuzi wakati ujajua upuuzi wake,
 
Wafuasi wa upinzani..[emoji19]
 
Haya hebu nambie hawa ndio wa kupewa Nchi waiongoze?
 
Huna hoja, hujielewi, na wala si mtu sahihi wa kuzungumzia mambo ya uzito Kama huu.
 
hata wewe ni mpuuzi,uwezi kumwita mtu mpuuzi wakati ujajua upuuzi wake,
Kama usipojua kwa dalili za maelezo yake ya awali then tarajia maumivu makubwa baada ya kuwaruhusu wapumbavu kufanya upumbavu wao kwa kivuli cha demokrasia na uhuru wa kujieleza.
 
We mtoa mada,unaonekana umetumwaa so bure,
Nimetumwa na Fikra zangu nikiwaza zile tabu ninazopata kujitafutia raslimali zangu kidogo kihalali halafu wapumbavu fulani wasio taka kutumia nguvu wala akili kutafuta pesa.! Wakitaraji siasa ije iwe mkombozi wao waniharibie mali zangu kwa kisingizio cha maandamano ya kudai demokrasia na uhuru wa kujieleza thats bullshit..!!
 
Kisha kama kawaida waandishi wa habari wa kimataifa BBC, CNN, VOA. Wako pembeni wakiwasindikiza na kupeperusha habari za Afrika kama kawaida.

Not in my Country this stupidity ahsante JPM. Live long..
 
Bila shaka manake washiriki wengi wangekua vibaka,wavuta bhangi na watu wengine wasiokua na uelekeo ktk maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…