Maandamano makubwa leo Arusha

Yaani mtu akimpiga busu mke wake inakuuma sana - na hapo nyuma hiyo ni familia yake - Ulitaka uolewe wewe nini!

Wapi nilipoandika imeniuma?

Mimi nimeweka kumbukumbu sahihi tu!
 
Mwenyekiti hana maadili kabisa. Huyo ni mke wake yupi jois au kuna mwingine?

Ndoa zinawasumbueni sana wadada wa siku hizi! Mwenzio Vicky Kamata alizimia kabisa. Namshukuru Mungu nilizaliwj mwanaume!
 
Jangili Number One ni Charles Dankan ... anauhusiano gani na Nyalandu? Mila na Desturi zetu zinaruhusu? Anti Ezekiel aje hapa atufafanulie kama huo uhusiano unafaida kwa Watanzania ama laa!...
 
Siwezi kushiriki huo upuuzi nyalandu andamana mwenyewe na aunt ezekiel na faraja kota na wanao maana ndo mnafaidika na hap tembo pia kumbukeni kuandamana kuelekea kwa kinana......

Ungesikia maandamano ya Lema kupinga tembo kuuawa ungewahi kamanda! Ama kweli mmevurugwa.
 
Hakuna jambazi zaidi ya Lema katika jiji la Arusha

Kwa hiyo lemma ni zaidi ya hawa policcm? Kwa nn sasa hawa polis bado tunawalipa kwa kodi zetu huku tu lema kawashinda? Ccm wote manyani kweli!
 
anti ezekiel atakuwepo?

 
wapi nilipoandika imeniuma?

Mimi nimeweka kumbukumbu sahihi tu!

mkuu unajitahidi kujitetea wakati unafahanika unatoka chama cha wapuuzi, na wala rushwa... So hata wewe na mwenyekiti wako ni wap....zi
by kinana: Sisi ccm ni wapuuzi na chama chetu kina nuka rushwa.
 
na ww nae hubadiliki kutwa kucha unamuwaza marehemu ukawa tu, shame on you!

pole sana mpuuzi, na mla rushwa.

sisi ccm ni wapuuzi na chama chetu kina nuka ruhswa, by kinana.. 12/10/2014
 
ha ha ha ha ha daaa nimecheka hadi nimeshindwa kuchangia, kweli wananchi wamechoshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…