Hivi sasa mji wa Iringa unazizima
kwa maandamano ya wanachuo
kikuu kishiriki cha Mkwawa
kwenda kwa mkuu wa mkoa kisa
hawajaingiziwa fedha zao,HII NI
HAKI KWELI WAKATI MAMILIONI YA
KODI ZETU YANALIWA NA
WACHACHE SERIKALINI?
habari ya uongo hiii!
mbona mlimani watu walishaimaliza
mkuu wa mkoa nae anahusika na HSLB?
habari ya uongo hiii!
acha ujinga...una vigezo vp kuthibitisha ni ya uongo? Mi nipo eneo la tukio na maandamano nimeyaona.
Mkuu heshima yako aisee, nashukuru kukuona jukwaani, lakini zingatia ushauri niliokupa kule fb.