Maandamano kilimanjaro

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
25
BREAKING NEWS... nimepigiwa simu na MUSHI akiwa na MALLYA pamoja na MREMA sasa hivi ananiambia kuna MAANDAMANO makubwa kule KILIMANJARO... eti hawataki MBEGE yao ichukuliwe na kuletwa DAR ES SALAAM ....kama kunywa twende tukanywe kule kule KIBOSHO lakini kamwe hakuna kupikwa Dar wala kunywewa Dar.... Naendelea kuwasikiliza....na bibi GRACE SHIRIMA kapiga mkwara akisema wakidharau atabadilisha MBEGE KUWA CHILI SAUCE......
 
tehe tehe tehe mambo ya ukabila hayo, mwisho wahaya nao watataka ndizi zisisafirishwe zibaki kule kule Bukoba
 
Byarugaba nae kuhusu nsenene twende tukale hukohuko kiziba?
 
Na sisi uduvi wetu usisafirishwe mje mlie hukuhuku baharini.
 

kweli bwana hata c2c wamerusha kwenye taarifa ya habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…