Maandamano DODOMA yazorotesha huduma maofisini

Huu ni undezi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandamano ya buku 10. 😂😂😂
Maticha wamefata buku 10 zao.
 
Hayo maandamano yenyewe ni kazi
Hapo sawa kabisa, ni methali ya kinyamwezi: kinachovunja shughuli nayo ni shughuli. Tatizo ni watumishi na serikali kwa ujumla kusahau kuwa wapo kwa ajili ya wananchi. Ndio maana kuna maneno kama vile ofisi yangu, wizara yangu, mkoa wangu nk nk. Mwananchi kupata huduma ofisini inakuwa si haki yake tena.
 
Ipo hakika yeyote kuwa waandamanaji wameandamana kwa hiyari yao?
 
Ipo hakika yeyote kuwa waandamanaji wameandamana kwa hiyari yao?
Kuna waasisi wa maandamano, bila kusahau kuwa tunaelekea uchaguzi mwaka huu na kesho. Viongozi ofisini hupanga ili kujipendekeza, wanasiasa watakuwepo majukwaani kampeni za uchaguzi. Waandamanaji hawana uchaguzi, zaidi ya kufuata upepo.
 
Kutokujua kwao ni faida kwa wanaojua
 
unaweza ukawalaumu tu hao watumishi, lakin hayo maandamano wanalazimishwa na kutishwa na wakuu wa wilaya na mikoa ili kuulinda ugali na cheo lazima uende tu.
 
Hao wanaoandamana 2023 watakuwa wamestaafu au kwa faida ya wenzao wanaostaafu sasa?
 
Wafanyakazi wamepumzika Leo
Huo mwanya sijui wangapi wameuona?
Na huku leteni maandamano maana unatembea hatua mbili unapotelea kwenye mishe zako
Kama kubeba jeneza la kiislamu unagusa tu unatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…