ACHA WAKOME WAGOGO WENZANGU,MBUNGE WAO DAVID MALOLE YUKO BUSY NA SHUGHULI ZAKE BINAFSI,NAWAMBIO WAVUNE WALICHOKIPANDA,NDO FAIDA YA KUCHAGUA VIONGOZI WOTE KUTOKA CCM,"Wendile vya tene neje"Wala pegwa masweko hodu ne mahala ga kajilila"POLENI SN WANA DODOMA
Nyie wagogo wenzangu acha mbomolewe nyumba zenu labda ndo mtashutuka kwenye usingizi wenu wa pono... Nyie kuanzia balozi hadi mbunge ni CCM tu mnategemea nini sasa...
ACHA WAKOME WAGOGO WENZANGU,MBUNGE WAO DAVID MALOLE YUKO BUSY NA SHUGHULI ZAKE BINAFSI,NAWAMBIO WAVUNE WALICHOKIPANDA,NDO FAIDA YA KUCHAGUA VIONGOZI WOTE KUTOKA CCM,"Wendile vya tene neje"Wala pegwa masweko hodu ne mahala ga kajilila"POLENI SN WANA DODOMA
Eti wanataka kuona Busara za Lukuvi kwahiyo wanaamini Lukuvi ana busara za kuwasaidia... hahahahahahahhaa acha mbomolewe tu kumbe hamjajitambua vyema..
Wakazi wa kata ya Kikuyu Kusini na na majirani katika Manispaa ya Dodoma leo asubuhi wameandamana hadi Nyerere Squre Mjini kati, kuishinikiza CDA (Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu) kuacha kuwavunjia nyumba zao za tangu miaka ya 1973, Wanavyodai ni hata wenzao jirani wa Kijiji cha Mkonze mashamba yao wamelipwa na CDA kwa nini wao wasilipwe nyumba zao ingawa walishaorodheshwa kuwa wabomoe na wasijenge tena.
Mitaa ya Chinyoya, Nzuguni, Ntyuka, Makulu wote waligoma ardhi yao na kweli CDA ikipima Kiwanja mwenye eneo hurudishiwa fedha hata kupewa kiwanja kingine.
CDA inatazamiwa kuirudishia manispaa viwanja vyote vya wazi(Open Space), ambavyo walikuwa wavibomoe kutokana na amri ya Mahakama lakini Mbunge Bw David Malole akaingilia kati na kuomba visivunjwe kwani vina ajiri nusu ya wakazi wa manispaa hii. Open space hizo zikiwemo Kajima, Atlantic, KJ Kiosk, Jacana, Rose Garden, Mpepo, Sun Set, Savanha na nyinginezo itabidi sasa zirejeshe ziwe chini ya Manispaa ifikapo 25/10/2013 ndiyo yanvyoonekana makubaliano yatakavyokuwa.
Cha ajbu juzi 28/09/2013 CDA iliitisha Kikao cha dharura na Uongozi wa Mji, Madiwani wote wa Manispaa, Kamati ya Siasa ya Chama ya wilaya na wengineo, ili kujadili mustakabali huo, lakini wajumbe waliotoka huko naona hawakukubaliana kwani waliikataa (HONGO YA 50,000/) kama Posho ya Kikao haijulikani ni nini kikmetokea hadi baadhi ya wajumbe tena vijana kususia huku wakitishia kubumbulua
Matokea ndio leo wakazi hawa wa manispaa wanamtaka Mkuu wa Mkoa awabane CDA WASIBOMOE NYUMBA ZAO, na wawape kwanza wao viwanja vinavyobaki walipwe kifuta jasho, na wasiwasahau kwa barabara. Mwenyekiti wa Kitongoji akielezea masahibu waliyokutana nayo kuhusu kubomolewaWakazi walioandamana wakiwa wameshafika Nyerere Square chini ya Ulinzi wa POLISI Wakazi hao wakinyanyua mabango yao na nyimbo za kutaka wajengewe barabara na kupewa kwanza wao viwanja Hilo Jukwaa la Nyerere huwa halisogeleki hasa Ngazi zake kwani linalindwa na askari mgambo unachotakiwa, 9wakazi hao kwa pembeni wamenyanyua mabango wakimsubiri Mkuu wa mkoa) hapo ni kutoa Malalamiko yako kwanye hiyo sanamu (ya BABA WA TAIFA), km ni nyimbo, vilio, kashfa, lawama nk ukitoka nje ni kimya (Ni km ule Mnara wa Washngton Marekani) naona UDOM wanaukumbuka kwani umefikisha vilio vyao vingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.