Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,485
- 3,226
Punguza mihemukounge shuhudia jinsi askari uchwara walivyo kuwa waki tekeleza mauaji, basi unge ungana na watanzania wenzio kukemea ushenzi ulio fanyika.
under 20 wengi wame kwenda na maji kama vile ni game au trailer ya horror movie.
halafu eti duka?, haya tudanganye uli acha bilioni ofisini, roll up your sleeve and move your weird a.ss mf.
Chai, narudia roll up your sleeve and move your weird a.ss.Punguza mihemuko
Hata mimi ni mhanga wa mapambano na masoja kitaa
Aliyeandama siye aliyevunja duka na kupora, na aliyepora siye aliyeandamanaTuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
Nilishawaambia tena mimi siwezi kuwa chawa wa yoyoteHebu amka uka tawaze mtoto wa shemeji yako, ewe chawa mwenye empty pumpkin head.
Narudia tena kwa sauti kubwa Mimi sintawahi wala kizazi changu kuwa chawaKiduka chako kuvunjwa kisa uchawa ndio unakuja kulilia humu
Kwani kibaka au mwizi anarusiwa kuuwawa! kikatili hivi au anakamatwa anapelekwa kwenye vyombo vya kisheria?hakuna Sheria hapa Tanzania inaruhusu mwizi kuuwawa adharani,huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine, lazima Serikali ya Samia ijibu.Uwezi linganisha uhai na vibanda vilivyoteketezwa au kuporwa.Hakuna maandano ni vibaka na wahuni waliamua kufanya operation ya kuiba na kuharibu mali za watu, walistahili kifo, ila tunasikitika kuna raia wema pia waliwawa kwasababu ya hao vibaka.
Ndiyo kibaka anaefanya wizi na uharibifu wa mali anastahili kuuwawa kikatili sana.Kwani kibaka au mwizi anarusiwa kuuwawa! kikatili hivi au anakamatwa anapelekwa kwenye vyombo vya kisheria?hakuna Sheria hapa Tanzania inaruhusu mwizi kuuwawa adharani,huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine, lazima Serikali ya Samia ijibu.Uwezi linganisha uhai na vibanda vilivyoteketezwa au kuporwa.
Vipi watanzania ni waoga mbona husemi hii kauli tena😂😂 😂😂😂Ndiyo kibaka anaefanya wizi na uharibifu wa mali anastahili kuuwawa kikatili sana.
Ndiyo kibaka anaefanya wizi na uharibifu wa mali anastahili kuuwawa kikatili sana.
Kwa kifungu kipi cha Sheria kinachosema hivo? Maana nchi hii tunaishi kwa mujibu na SheriaNdiyo kibaka anaefanya wizi na uharibifu wa mali anastahili kuuwawa kikatili sana.
Asante tajiri wa fikraHakuna maandano ni vibaka na wahuni waliamua kufanya operation ya kuiba na kuharibu mali za watu, walistahili kifo, ila tunasikitika kuna raia wema pia waliwawa kwasababu ya hao vibaka.
Hayo ndio maandamano tofautisha maandamano na riadha na kwa taarifa yako maandamano ya africa ni die or alive, gain or loose