MASAMBI Member Joined Feb 4, 2011 Posts 19 Reaction score 3 Nov 14, 2011 #1 Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa
Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 Nov 14, 2011 #2 Acha uchoyo, tupe picha tafadhali
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,236 Nov 14, 2011 #3 Picha mkuu!! Crashwine keshatoa ndondoo keshaachiwa na watu wameshasambaa kitambo! sasa unasema maandamano yametoka wapi?
Picha mkuu!! Crashwine keshatoa ndondoo keshaachiwa na watu wameshasambaa kitambo! sasa unasema maandamano yametoka wapi?
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,254 Reaction score 9,168 Nov 14, 2011 #4 MASAMBI said: Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa Click to expand... polisi wamesha jifunza hawarudii tena!
MASAMBI said: Mbunge wa arusha mjini mh. Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana na kuna maandamano makubwa arusha mjini kwa sasa Click to expand... polisi wamesha jifunza hawarudii tena!
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 14, 2011 #5 Weka data zaidi mjomba!!.
Chilipamwao JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 523 Reaction score 128 Nov 14, 2011 #6 tupe mambo kaka, mbona unatuonjesha?
J jigoku JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,411 Reaction score 733 Nov 14, 2011 #7 Picha mkuu zitanogesha post yako,fanya kama watu wa Mbeya tulipata mambo katika picha pia,tupe update na mambo yalikuwaje na nani amemwekea dahamana
Picha mkuu zitanogesha post yako,fanya kama watu wa Mbeya tulipata mambo katika picha pia,tupe update na mambo yalikuwaje na nani amemwekea dahamana
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,371 Reaction score 88,584 Nov 14, 2011 #8 Picha mkuu
M mjaumbute Member Joined Oct 26, 2010 Posts 41 Reaction score 2 Nov 14, 2011 #9 hapo hujatutendea haki
chitambikwa JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,941 Reaction score 903 Nov 14, 2011 #10 tatamani kuona akapicha bojo