maandalizi yavalentine day


Aminia mwandani wangu...

Hiyo siku naisubiria,
Inshaalah itawadia.

Wawili tutaifurahia,
Kwa bashasha na mabusu pia.

Kwa furaha ntakurukia,
Utamu ntakupatia.

Hatutalala nakuambia,
Vyovyote itavokua.

Hiyo siku ya valentino,
Haitakuwa na mfano.

Aminia...
 
Last edited by a moderator:
Lol,siamini kama mashairi haya yatoka kinywani mwako..
Kumbe na wewe wayajua mambo haya!
Ndo maana nakupenda sana,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…