Peaceful Warrior
Senior Member
- May 28, 2013
- 125
- 28
Customs Officer ndo watajikuta kama wote hivi.. manake hiyo ndo kusanya kusanya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo ina deal miezi 5 kazini una nyumbaCustoms Officer ndo watajikuta kama wote hivi.. manake hiyo ndo kusanya kusanya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Likely to appear in OralMnaojiandaa muzielewe vizuri duties na responsibilities za nafasi husika
Aiseeee hiyo itakuwa hatari sana....sema kwa sisi wa vijiji hapo itakuwa kitonga sanaaaaaaa.....nishawapanga wana.Hii itafanyika kikanda maana hilo nyomi la application zaidi ya 50,000 sio mchezo.
Nami mi naungana nanyi kumuomba Jehova atukumbuke...Goodwin mungu akubariki sana katika hili,na katika zile nafasi 100 Allah akuwekee yako moja,inshaalah
Ukiwa na Id card ya NHIF ni sawa?skuizi wakali so utakataliwa kufanya usaili. kama hauna kabisa at least uende na pasport picha. lakini nlishuudia mtu kakataliwa kuingia because ya kitambulisho
Asante mkuuany ID which has your face in it and which show the same names as in your original certificates, so nhif ID is perfect than non
Watakutukana kwa sababu unafikiri zaidi yao.Vijana wa Kitanzania akili zetu tunazijua wenyewe.....Hivi kweli unataka ukafanye Interview TRA ndio ulisome dude hilo lote.....Ache kuwa waoga wa kujiamini......Maswali ambayo yataulizwa mengi ni kuhusu uelewa wako na kuchambua mambo......je ukiiitwa Usail ofisi ya NAO-CAG...Utasoma ISA zote au?
Mkuu naomba nielekeze hizi soft copy ya vitabu vya bodi ntazipata wapi?? Kama hautajali naomba nisaidie copy ya kitabu cha corporate FinanceWadau katika kusaka madude ya kujiandaa na usaili wa TRA nimekutana na hili desa, kama vipi na nyie muongeze madude ili tuliamshe siku tukiitwa pale duce.