Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,252 Reaction score 98,255 Jul 17, 2017 #1 Wajameni Afrika ni zaidi ya vichekesho pale uchaguzi unapokaribia ebu oneni vifaa vilivyo agizwa ili kuhakikisha walengwa wanashinda In God we trust
Wajameni Afrika ni zaidi ya vichekesho pale uchaguzi unapokaribia ebu oneni vifaa vilivyo agizwa ili kuhakikisha walengwa wanashinda In God we trust
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,182 Jul 17, 2017 #2 Na Tanzania 2015 ilikuwa hivyo hivyo. Yaliagizwa magari ya washawasha na magari ya namna nyingine zaidi ya 700.
Na Tanzania 2015 ilikuwa hivyo hivyo. Yaliagizwa magari ya washawasha na magari ya namna nyingine zaidi ya 700.