Maandalizi ya Pasaka tanangozi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
MAANDALIZI YA PASAKA TANANGOZI.jpg

Watani wangu Wahehe na Wamakonde karibuni katika kusherehekea Maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka Kitoweo ndio hicho ninakileta.
 
Mzimzi mkavu bhana sasa mbwa wote hao wakuchinja?
Itabidi tuwachinje Tusherehekee Sikukuu ya Pasaka Aleluya Bwana Awe nasi.Sisi hatuli Mbuzi wa Kikatoliki Aka Nguruwe, tuna kula Mbwa Sisi Wahehe na Wamakonde. Mbwa mtamu sana ukila siku moja Mbwa utataka kula kila siku kwa utamu wake huyo Mbwa.
 
MziziMkavu umenikumbusha siku moja mi na rafiki yangu tulienda kula mbuzi sehemu moja pale Iringa,tukiwa tunasubiria mara tukasikia mbwa kabweka mara moja bweeee.... rafiki yangu akanambia umesikia tunachinjiwa mbwa badala ya mbuzi! Tulitoka nduki hamu yote ya mbuzi ilituisha.
 
:D:D:D Ni kawaida kwa Watani wangu wa kihehe kukukaribisha siku ya kwanza nyumbani kwao na kitoweo cha nyama ya Mbwa mungekula tu hakuna shida nyama ni nyama tu.........:D:D:D
 
Back
Top Bottom