True MkuuIlikuwa mwaka 2004 kuelekea uchaguzi wa mwaka 2005, nikiwa kijana mdogo na mwororo (sekondari) hayati Ndesamburo alitua na chopa yake wilayani kwetu.
Sikuwa naijua CHADEMA zaidi ya CCM na wapinzani wao UDP kwa wakati huo hapo jimboni kwetu.
Nilijongea kumsikiliza; Alikuwa mzee wa makamo aliyebeba makabrasha aliyoyatumia kutueleza UFISADI wa serikali ya CCM. Ujengaji hoja wake, charisma na namna alivyoongea kwa passion kubwa vilinifanya kuipenda CHADEMA tangu siku hiyo. Nikawa chachu ya mabadiliko ya kifikra kwa vijana wenzangu shuleni..!
Yote haya alisababisha hayati Ndesamburo. Ile siku bado iko kichwani mwangu hata leo hii.
Pumzika kwa Amani Comrade Ndesamburo.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki CHADEMA.
waziri mkuu amejibu nini kuhusu uwanja?Maandalizo ya Mazishi ya marehemu Dkt ,Philemoni Ndesamburo yakiendelea nyumbani kwake KDC mjini Moshi.
Tutawaletea Moja Kwa moja kila litakalo jiri hapa Jijini moshi
Tumuombee Mungu Ampumzishe kwa amaniMara ya mwisho nilimuona pale Hoteln kwake kizy hotel akiwa na Salum Mwalim, aisee R.i.p kamanda Ndesamburo
Hata Singida ni jiji piaMaandalizo ya Mazishi ya marehemu Dkt ,Philemoni Ndesamburo yakiendelea nyumbani kwake KDC mjini Moshi.
Tutawaletea Moja Kwa moja kila litakalo jiri hapa Jijini moshi