Maandalizi ya kuwakabili alshabaab

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Jeshi la kenya tayari kuwakabili alkaida wing based in horn of africa.Tusisahau black hawk down.
 

Attachments

  • kismayu.jpg
    kismayu.jpg
    41.7 KB · Views: 107
  • kissma.jpg
    kissma.jpg
    62.2 KB · Views: 116
  • kls-w.jpg
    kls-w.jpg
    54 KB · Views: 97
Kweli wamejipanga,lakini nina hofu na wale washkaji wa Al-Shabaabh kwani wana vyombo vya kisasa zaidi ya tuonavyo. MUNGU kawe mkubwa!
 
wakenya mbona mabwege tu watapigwa kama watoto tu hao..wanajua wapi kupigana? wanajifunzia kwa mungiki wanafikiri hao al shabab ni mungiki? waende zao nairobi huko wakaibe pesa na kula rushwa..hawana lolote. tz tungeenda hapo ndo tungewamaliza kabisa..si unajua wanajeshi wetu wanavyopenda sifa...
 
Ile helikopta ya kivita nimeona kama ina alama ya ROYAL AIRFORCE pamoja na kwamba imeandikwa Kenya Airforce ama ni mawazo yangu?
 
Back
Top Bottom