Maandalizi na tendo la ndoa kwa mwanamke aliyekeketwa

Wakuu msiwandame wakurya tu kwa kukeketa, kuna makabila mengi ambayo yanakeketa kimya kimya na nimeshakutana na KE kadhaa from Central zone yaan SGD and Dom wamekeketwa.Ila naona likizungumziwa ishu ya ukeketaji bac nchi nzima wanafocus kwa wakurya tu. Ila wa central zone wanakeketwa clitoris tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wanabodi habari,

Uzi huu ni maalum kwa watu wenye uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake waliokeketwa, na pia wanawake waliokeketwa. Katika pita pita zangu niliwahi kukutana na mwanamke mrembo haswa (Mungu ni fundi, ashukuriwe) lakini katika hatua za mwanzoni alikuwa mgumu sana kuruhusu kukamilisha hatua ya mwisho ya mahusiano (ngono)

Ilinichukua muda kugundua kuwa atakuwa na walakini sehemu, nikaahidi sitomkwaza ndipo aliponiruhusu kumtoa nguo zake. Kwa kweli niliumia sana moyoni kukuta chuchu za maziwa zimeunguzwa na moto kwa kutumia waya, hivyo kugusa au kunyonya hapo ni kumuumiza tu

Kule ikulu nako Hali ni hiyo hiyo na zaidi ni kwamba kisimi (clitoris) ambacho ndiyo silaha pekee kwa mwanamke kilikuwa kimekatwa na mashavu ya pembeni kama yamebanwa hivi (sikuelewa vizuri hii) kufanya njia ya papuchi kuwa ndogo sana

Mwanzo nilipata taaabu sana na nusra niachie njiani na kuondoka zangu lakini nilijipa Moyo na kuamua kumuandaa kwa muda mrefu bila kugusa papuchi na chuchu zake na pia alinielekeza sehemu za kugusa na namna ya kugusa (kama pua na nayo zake) na ndipo baada ya saa moja na nusu nikaona yuko tayari kwa ajili ya tendo husika.....

Nimekutana na Hali hiyo kwa binti wa kipemba japo yeye ni kisimi tu kilikuwa kimekatwa kidogo (alisema ni imani yake ya dini) na sikupata taaabu sababu ya uzoefu

Nakaribisha maswali na mjadala kwani nina uzoefu wa kukutana na wanawake wa aina hiyo
Dah hao ambao hawana antenna inakuwa ni shida sana kuwaanda na inahitaji utulivu sana kufanikisha kilelen kwake
 
Kweli kabisa mkuu. Huyu mgogo wangu hajaharibiwa matiti...yako vizuri tu...na huko ndiko ninakovinjari wakati wa maandalizi. Aidha, pauchi yake ina clitoris ndogo iliyobaki baada ya ukeketaji kufanyika...haikuondolewa yote kama wakurya wanavyofanya.

Huyo wa kwako kwa kuwa matiti na papuchi 'zimevurugwa' nakushauri uwe unamuandaa kwa kuvinjari sehemu zingine za mwili kama alivyokuelekeza, vinginevyo kugegedana kutageuka kuwa karaha kwake.

Tusubiri na watalaam wengine nao waje wafunguke ili tupeane uzoefu zaidi katika hili suala zima la umegaji wa tunda la uzima.
Uko sahihi mkuu, Kuna nyakati ambazo inakubidi usiingie kwenye papuchi badala yake ni maandalizi tu ya sehemu zingine.

Ila sensitivity yao huwa inahamia sehemu zingine. Kwa mfano mgongo unakuwa sensitive sana na pia shingo
 
Wakuu msiwandame wakurya tu kwa kukeketa, kuna makabila mengi ambayo yanakeketa kimya kimya na nimeshakutana na KE kadhaa from Central zone yaan SGD and Dom wamekeketwa.Ila naona likizungumziwa ishu ya ukeketaji bac nchi nzima wanafocus kwa wakurya tu. Ila wa central zone wanakeketwa clitoris tu
Mkuu nadhani mimi kama mtoa mada sijataja kabila kabisa. Naepuka hilo na hata nilivyoulizwa sijajibu. Zaidi hili swala nimelikuta hadi kwa mpemba likiwa kiimani zaidi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dah hao ambao hawana antenna inakuwa ni shida sana kuwaanda na inahitaji utulivu sana kufanikisha kilelen kwake
Ni kweli kabisa mkuu, hasa pale ambapo antena na chuchu pia zimeharibiwa. Lengo la uzi huu ni kupeana uzoefu ambao utasaidia kuimarisha mahusiano na wanawake wenye hali hii
 
Nimekutana na hawa ambao wameondolea kidogo tu ila wale waliondolewa kabisa huwa nawakwepa.
Kuna mmoja wa kina Mura nilimkimbia baada ya kupima oil.
Mkuu kuwakwepa baada ya kuwatolea nguo zote na kuwaandaa ni kuwaumiza sana kisaikolojia. Anaweza hata kulipa kisasi kama anajua madawa. Cha msingi hapa tufundishane mbinu za kisasa za kuwaandaa na kuwa nao katika mahusiano

Ningependa na akina dada waliomo humu wasaidie kutupa uzoefu. Kipi hawapendi na kipi wanapenda kama wamekeketwa
 
Uislam umeruhusu ukeketaji wa kinyama kidogo ambao hautaleta madhara iwapo mwanamke atashindwa kucontrol hisia zake hivo kupelekea kufanya maasi..Ndio maana umekutana na huyo bnti wa kipemba aliekeketwa,,
Ila kumchoma chuchu jamn ni kuharibu umbile la mwanamke asipendeze kwa mumewe.
Mkuu ebu kwa hisani yako naomba unipe wapi kwenye uislam hiyo sehemu ilipo ruhusu kukeketa plz,this is news to me,au kipengele gani kwenye Quran au Hadith please nisaidi ili nisome please..
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Uslamu upi huo unaouzungumzia ww,hebu leta dalilun kwanza
Khitaan'(Twahaarah au Tohara) kwa mwanamke ni jambo lisilokatazwa kwenye Uislam, na ni jambo mtu ana khiyari ya kulifanya au kutolifanya lakini si jambo linalokatazwa kama wengi mnavyodhani!
 
Mkuu ebu kwa hisani yako naomba unipe wapi kwenye uislam hiyo sehemu ilipo ruhusu kukeketa plz,this is news to me,au kipengele gani kwenye Quran au Hadith please nisaidi ili nisome please..
'Khitaan'(Twahaarah au Tohara) kwa mwanamke ni jambo lisilokatazwa kwenye Uislam, na ni jambo ambalo mtu ana hiyari ya kulifanya au kutolifanya lakini si jambo linalokatazwa kama wengi mnavyodhani, ushahidi kuwa wanawake walikuwa wakitahiriwa "RejeaSwahiyh Fiqhus Sunnah aya ya 1, uk.99)
Hadith mojawapo inayotegemewa na watetezi wa jambo hilo ni ile inayomzungumzia Umm Atiyya Al-Ansariyya ambapo inaelezwa hivi "Mwanamke mmoja alikuwa akifanya ukeketaji Madina na Mtume (SWA) akamwambia Usikate sana kwani hiyo ni nzuri zaidi kwa mwanamke na ndiyo inayompa raha zaidi mume (Abu Dawud41:5251)
NINI SABABU ZA UKEKETAJI WALIZOZITOA WAKATI HUO?
*Hulinda utwaharifu/bikira. *Hupunguza matamanio kwa *wanawake Hustawisha mayai ya uzazi na uzazi wenyewe kwa kujiepusha na mambo yasiyofaa kama kushiriki ngono na utoaji mimba kiholela
 
Nimemuacha mrembo mmoja kwa sababu hiyo, yaani kila nikimkumbuka natamani sana kurudiana naye lakini mkeketo ulinshinda!
Anavutia kila njanja umbo kila kitu, ila tatizo ndio hilo!
Ameachika kama mara 3 hivi namuonea hadi huruma...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
'Khitaan'(Twahaarah au Tohara) kwa mwanamke ni jambo lisilokatazwa kwenye Uislam, na ni jambo ambalo mtu ana hiyari ya kulifanya au kutolifanya lakini si jambo linalokatazwa kama wengi mnavyodhani, ushahidi kuwa wanawake walikuwa wakitahiriwa "RejeaSwahiyh Fiqhus Sunnah aya ya 1, uk.99)
Hadith mojawapo inayotegemewa na watetezi wa jambo hilo ni ile inayomzungumzia Umm Atiyya Al-Ansariyya ambapo inaelezwa hivi "Mwanamke mmoja alikuwa akifanya ukeketaji Madina na Mtume (SWA) akamwambia Usikate sana kwani hiyo ni nzuri zaidi kwa mwanamke na ndiyo inayompa raha zaidi mume (Abu Dawud41:5251)
NINI SABABU ZA UKEKETAJI WALIZOZITOA WAKATI HUO?
*Hulinda utwaharifu/bikira. *Hupunguza matamanio kwa *wanawake Hustawisha mayai ya uzazi na uzazi wenyewe kwa kujiepusha na mambo yasiyofaa kama kushiriki ngono na utoaji mimba kiholela
Shukran ila hiyo sehemu its not clear kama ulivyo andika lakini wacha niitafute zaidi,ahsante ...
 
'Khitaan'(Twahaarah au Tohara) kwa mwanamke ni jambo lisilokatazwa kwenye Uislam, na ni jambo ambalo mtu ana hiyari ya kulifanya au kutolifanya lakini si jambo linalokatazwa kama wengi mnavyodhani, ushahidi kuwa wanawake walikuwa wakitahiriwa "RejeaSwahiyh Fiqhus Sunnah aya ya 1, uk.99)
Hadith mojawapo inayotegemewa na watetezi wa jambo hilo ni ile inayomzungumzia Umm Atiyya Al-Ansariyya ambapo inaelezwa hivi "Mwanamke mmoja alikuwa akifanya ukeketaji Madina na Mtume (SWA) akamwambia Usikate sana kwani hiyo ni nzuri zaidi kwa mwanamke na ndiyo inayompa raha zaidi mume (Abu Dawud41:5251)
NINI SABABU ZA UKEKETAJI WALIZOZITOA WAKATI HUO?
*Hulinda utwaharifu/bikira. *Hupunguza matamanio kwa *wanawake Hustawisha mayai ya uzazi na uzazi wenyewe kwa kujiepusha na mambo yasiyofaa kama kushiriki ngono na utoaji mimba kiholela
Ahsanteee
Nlikua nalisaka hilo desa..
 
Back
Top Bottom