Maandalizi Kabambe Kuelekea 2015

akisalimia wageni mashuhuri walioalikwa kutoka mikoa yote ya Tz
 
Kama uonavyo.............BIRDS OF FEATHERS FLOCK TOGETHER.........KILA MTU NA MTUWE
 
Mpango mkakati,....wafanyiabiashara mashuhuri ndani ya nyumba, angalia na mandhari pia
 
The Man thinks of Kingship (Ufalme). In my Opinion is the Disqualification Criterion Number one for a political Leader. Have liked the attire though.
 
Tuache utani, huyu jamaa anatisha ndani ya CCM. Simply unstoppable,,,,

Only Dr Slaa can stop this great CCM man from becoming the next president
 
Ukisikia mpaka Sofia SImba anasema huyu ni 'MWNAUME WA SHOKA' lazima ishituke. Aliongea kama utani lakini alibeba ujumbe mzito kuliko maelezo. Pesa aliyomwaga Sofia Simba kwenye UW-CCM inatisha. Aliitoa wapi?
 
pembe zote za mbeleko amezikamata kuanzia wenyeviti wote wa ccm kila angle.........
 
nauliza kwa waliokuwepo ikiwa walibahatika kumuona She-buda...............
 
pembe zote za mbeleko amezikamata kuanzia wenyeviti wote wa ccm kila angle.........

Jamaa ana mikakati ya muda mrefu sana. Kakamata kila pembe. Sina uhakika kama kuna mwenye ubavu pale kwenye chama chake wa kumzui kuchukua fomu za uraisi ama kukata jina lake.
 
Mungu turehemu na warehemu wanafiki woote wanaomuunga mkono Lowassa. Namwogopa huyu jamaa kama mwiba kwa sababu hana maslahi kwa walala hoi bali anachokiwaza ni kujenga mahoteli na ikiwezekana barabara zake binafsi huku walala hoi wakiugulia maumivu.
 
Mimi na Kikwete hatukukutana Barabarani................inaonekana ana strong support ya Mkulu....................
 
Mungu turehemu na warehemu wanafiki woote wanaomuunga mkono Lowassa. Namwogopa huyu jamaa kama mwiba kwa sababu hana maslahi kwa walala hoi bali anachokiwaza ni kujenga mahoteli na ikiwezekana barabara zake binafsi huku walala hoi wakiugulia maumivu.
hakuna aliyeamnini kama Mkapa angekua Rais but yalitimia......siasa nyingi zimejaa propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…