View attachment 3272069
Logo ya Dao System, " Dao" ni programu fupi ya mazoezi ya kujilinda, ambayo ilianzishwa nchini tanzania na mwl. Mazeru mwaka 2015 . Kwa lengo la kuipatia jamii uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, watekaji,wauaji,magonjwa na mazingira hatarishi. Aidha, kuendeleza mbinu za kujihami nchini tanzania. Program hii ya " Dao " kwa mara ya kwanza ilitambulishwa kwa jina la ( mazeru karate ) lakini kutokana na maboresho ya ubunifu na usajili wa haki miliki, imebidi kutumia jina la Dao ambalo nitalifafanua maana yake katika makala zijazo. Mimi ni mwl. Mazeru nipo muanzilishi wa programu ya (Dao ).
Nipo chanika kaka jirani na kituo kikubwa cha polisi , karibu sana. Dau kwa sasa hatupokei tunafundisha bure tuu.Sawa tumekuelewa kuhusu programu yako ya Dao ila hujatuambia unaifundisha kwa Dau la bei gani
Lakini pia kuhusu location nadhani ni muhimu watu kujua ni wapi ambapo unawafanyia watu hizo training.
JichanganyeKama huyo kwenye picha ndio master, basi niko tayari kupambanana nae ili nimpasue aache uzuzu.
Nyie ndio mji changaye, ili muishie kupostiwa na mishumaaJichanganye
We jichanganye uishie kupostiwa na mishumaaHahahaaaaaa, sawa bana . Karibu sana.
Miili yenye nguvu na mazoezi haiwagi minene boss huyo anaweza kukupush kwa kidole ukadondoka na usirudi ukaishia kupepewaNyie ndio mji changaye, ili muishie kupostiwa na mishumaa
Sasa huyo mbona mnene?, naomba liandaliwe pambano la live, ili nitoe mafunzo kwa vitendo.Miili yenye nguvu na mazoezi haiwagi minene boss huyo anaweza kukupush kwa kidole ukadondoka na usirudi ukaishia kupepewa
Hii imenikumbusha wakati wa utoto kuna braza alikuwa anapiga karate halafu anasumbua mtaani tukajipanga masela wanne kumpiga ambush maana tuliona tunammudu ....aisee tulichezea vitasa nakumbuka jamaa alinipiga kwenye kifua nikashangaa nakoroma kama pumzi inakata...hawa jamaa huwa wanajua wapi pa kupigaKama huyo kwenye picha ndio master, basi niko tayari kupambanana nae ili nimpasue aache uzuzu.
Na uzuri kwenye pambano lako la mwisho watu walikuona.Kama huyo kwenye picha ndio master, basi niko tayari kupambanana nae ili nimpasue aache uzuzu.
Sawa mi nitakuja ila tukubaliane kabisa kwangu zoezi la msamba hutalitumia.Nipo chanika kaka jirani na kituo kikubwa cha polisi , karibu sana. Dau kwa sasa hatupokei tunafundisha bure tuu.
.
Mzee nyie waoga tu, mi niko tayari pambano la live liandaliwe, ili nitoe mafunzo kwa vitendo.Hii imenikumbusha wakati wa utoto kuna braza alikuwa anapiga karate halafu anasumbua mtaani tukajipanga masela wanne kumpiga ambush maana tuliona tunammudu ....aisee tulichezea vitasa nakumbuka jamaa alinipiga kwenye kifua nikashangaa nakoroma kama pumzi inakata...hawa jamaa huwa wanajua wapi pa kupiga
Jichangeni muishie kupostiwa na mishumaa