Elias mwasibu Member Joined Dec 19, 2016 Posts 83 Reaction score 29 Jan 22, 2017 #1 Hili neno [HASHTAG]#shoga[/HASHTAG] linaboa huwa nini maana yake haswaa wazee wa kamusi na visingeli.
Hili neno [HASHTAG]#shoga[/HASHTAG] linaboa huwa nini maana yake haswaa wazee wa kamusi na visingeli.
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,505 Reaction score 2,745 Jan 22, 2017 #2 Kwa kamusi ya kiswahili maana yake rafiki, au swahiba mliyeshibana hayo mengine waachie wanaojua kuelezea
Kwa kamusi ya kiswahili maana yake rafiki, au swahiba mliyeshibana hayo mengine waachie wanaojua kuelezea
Elias mwasibu Member Joined Dec 19, 2016 Posts 83 Reaction score 29 Jan 22, 2017 Thread starter #3 Je unaweza kuita mtu wa jinsia yoyote au ni upande wa kiume pekee
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,166 Reaction score 28,816 Jan 22, 2017 #4 havanna said: Kwa kamusi ya kiswahili maana yake rafiki, au swahiba mliyeshibana hayo mengine waachie wanaojua kuelezea Click to expand... Hapo ina apply kwa wanawake...
havanna said: Kwa kamusi ya kiswahili maana yake rafiki, au swahiba mliyeshibana hayo mengine waachie wanaojua kuelezea Click to expand... Hapo ina apply kwa wanawake...
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,166 Reaction score 28,816 Jan 22, 2017 #5 Elias mwasibu said: Je unaweza kuita mtu wa jinsia yoyote au ni upande wa kiume pekee Click to expand... Shoga kwa maana ya Rafiki inatumika kwa wanawake tuu...
Elias mwasibu said: Je unaweza kuita mtu wa jinsia yoyote au ni upande wa kiume pekee Click to expand... Shoga kwa maana ya Rafiki inatumika kwa wanawake tuu...
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,259 Jan 22, 2017 #6 shoga 1.Mtu ambaye ana hisia za kike 2.Rafiki uliyeshibana naye kiurafiki (hasa hutumiwa na wanawake)
shoga 1.Mtu ambaye ana hisia za kike 2.Rafiki uliyeshibana naye kiurafiki (hasa hutumiwa na wanawake)
Elias mwasibu Member Joined Dec 19, 2016 Posts 83 Reaction score 29 Jan 22, 2017 Thread starter #7 Wakal wa swahil good
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,505 Reaction score 2,745 Jan 23, 2017 #8 PROF NDUMILAKUWILI said: shoga 1.Mtu ambaye hana hisia za kike 2.Rafiki uliyeshibana naye kiurafiki (hasa hutumiwa na wanawake) Click to expand... MTU ambaye ana hisia za kike sio hana,ukisema hana hisia za kike kumbe gentleman
PROF NDUMILAKUWILI said: shoga 1.Mtu ambaye hana hisia za kike 2.Rafiki uliyeshibana naye kiurafiki (hasa hutumiwa na wanawake) Click to expand... MTU ambaye ana hisia za kike sio hana,ukisema hana hisia za kike kumbe gentleman