Habarini wakuu,nimekuwa nikikutana sana na haya maneno katika simu za Samsung huwa sielewi yana maana gani au utofauti gani katika simu hizo
Najua kuna google ila majibu ya humu ni mazuri zaidi kwa kuwa tunatumia lugha fasaha na mifano inayoeleweka,hivyo nakaribisha wataalamu waje wanipe somo,karibuni..