Ngongongare
Member
- Jan 16, 2014
- 48
- 18
NAOMBA MSAADA WANA JAMVI KWA MASWALI HAYA
1.Kujipanga kabla ya kuoa maana yake nini?
2.Kwa nini wengi wanaosubiri kujipanga uingia kuoa by force??(unplaned PREGNANCY)
Nitashukuru kwa wale wataonipa ushikiano