Sherehe za kumwapisha Shein kuwa rais huko Unguja zimeambatana na gwaride la majeshi na vyombo vya usalama nchini. Vikosi hivyo vimetoa salaam na KIAPO CHA UTII kwa rais wa Zanzibar.
Wataalamu wa mambo ya kijeshi na sheria za nchi, nawasihi mtujuze. Ni nini maana ya kiapo cha utii kwa rais? Na nini matumizi na matakwa ya kiapo hicho?