Maana ya katerero, na mto ngono

lackg

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
641
268
Wakati Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakati akihutubia
wakazi wa Mkoa Kagera, alionyesha kuhusisha
janga la ukimwi na tabia ya uasherati na
kuonyesha kama lilikuwa janga la kujitakia.
Alionyesha maneno "mto ngono" na neno
"Katerelo" kuyahusisha na tabia ya uasherati.
Leo hii kwa faida ya kila mtu aliyesikia na
anaye husisha neno mto ngono na uasherati
kufuatia neno la kishwahili la ngono kama
tendo la kujamiana, aelewe maana halisi na
aachane na upotoshaji. Nimeshawika kuelezea
maneno haya na yalivyotokea katika lugha
ya kihaya na maana yake.
Nianze na neno mto ngono; Mto ngono
uananzia eneo linalo itwa lwamilinga, eneo
lililopo wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera.
Mto ngono humwaga maji yake katika mto
Kagera, ambao nao humwaga maji yake
ndani ya Ziwa Victoria. Ziwa nalo humwaga
maji kwenye mto Nile kabla ya kuinufaisha
bahari ya Mediterranean.
Katika mto ngono kuna aina fulani ya
mimea inayotambaa, nayo inaitwa "omugono".
Mimea hiyo hutumika kutengenezea aina
fulani ya mitego ya samaki. Wingi wa
"omugono" ni "engono". Hivyo ndivyo
unavyoitwa mto ngono na watu wa eneo
letu. Kwa maana hiyo neno ngono halina
uhusiano na tendo la kujamiiana kama rais
anavyotaka ifahamike. Hakika akutukanae
hakuchagulii tusi.
Katerelo ni eneo lililopo katika wilaya ya
Bukoba Vijijini karibu na bandari ya
Kemondo. Hapo palikuwa makao makuu ya
tarafa. Tarafa ya Katerrlo wakati wa utawala
wa kikoloni ilikuwa ndio makao makuu wa
chifu wa eneo linaloitwa Kianja. Utawala wa
machifu ulikuwa unaendeshea shughuli za
kiutawala hapo na hadi leo hii jengo
lililokuwa likitumiwa na chifu bado lipo.
Hukumu zilitoleewa hapo na adhabu
halikadhalika. Moja ya adhabu hizo zilikuwa
ni kuwachapa wahalifu viboko. Kwa maana
hiyo kila aliyeshitakiwa na kuitwa, alijua
eneo hilo ndipo wanapochapiwa. Kwa kihaya
neno kupiga ni "kutela" na eneo wanapotolea
adhabu ya kuchapa viboko ni "Katerelo". Kwa
maana halisi neno hilo halina uhusiano na
mtindo wa kufanya mapenzi kama ambavyo
rais wa nchi anataka watu waamini.
Nihitimishe kwa kusema lugha ya kishwahili
imeundwa na maneno ya kibantu na lugha
ya kihaya ni lugha ya wabantu. Isishangaze
maneno kuingiliana na hata kama yana
maana tofauti. Kwa mfano; wanyakyusa
wanatumia neno "mwagona" likiwa na maana
ya salamu, wakati katika lugha ya kihaya
neno wagona lina maana ya "kukoroma"
 
Siku akienda mbeya sijui Itakuwa je maana huko kuna vjiji vinaitwa, udinde, kimbolokotwe, itenkamatako, kuna shule inaitwa......... Atakuja kuitaja yeye mwenyewe
 
Hata mie nilijua hivyo.Maana halisi ya majina hayo hayawezi kuendana na KISWAHILI sababu kwa wahaya KISWAHILI ni lugha ngeni na iliyopelekwa baada ya uhuru.Kuna wahaya wasiojua kiswahili kabisa,siyo sahihi kuyatafsiri majina hayo kwa lugha ya kiswahili alikosea sana.

Ni kweli akutukanae hakuchagulii tusi,poleni wahaya
 
Wakati Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakati akihutubia
wakazi wa Mkoa Kagera, alionyesha kuhusisha
janga la ukimwi na tabia ya uasherati na
kuonyesha kama lilikuwa janga la kujitakia.
Alionyesha maneno "mto ngono" na neno
"Katerelo" kuyahusisha na tabia ya uasherati.
Leo hii kwa faida ya kila mtu aliyesikia na
anaye husisha neno mto ngono na uasherati
kufuatia neno la kishwahili la ngono kama
tendo la kujamiana, aelewe maana halisi na
aachane na upotoshaji. Nimeshawika kuelezea
maneno haya na yalivyotokea katika lugha
ya kihaya na maana yake.
Nianze na neno mto ngono; Mto ngono
uananzia eneo linalo itwa lwamilinga, eneo
lililopo wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera.
Mto ngono humwaga maji yake katika mto
Kagera, ambao nao humwaga maji yake
ndani ya Ziwa Victoria. Ziwa nalo humwaga
maji kwenye mto Nile kabla ya kuinufaisha
bahari ya Mediterranean.
Katika mto ngono kuna aina fulani ya
mimea inayotambaa, nayo inaitwa "omugono".
Mimea hiyo hutumika kutengenezea aina
fulani ya mitego ya samaki. Wingi wa
"omugono" ni "engono". Hivyo ndivyo
unavyoitwa mto ngono na watu wa eneo
letu. Kwa maana hiyo neno ngono halina
uhusiano na tendo la kujamiiana kama rais
anavyotaka ifahamike. Hakika akutukanae
hakuchagulii tusi.
Katerelo ni eneo lililopo katika wilaya ya
Bukoba Vijijini karibu na bandari ya
Kemondo. Hapo palikuwa makao makuu ya
tarafa. Tarafa ya Katerrlo wakati wa utawala
wa kikoloni ilikuwa ndio makao makuu wa
chifu wa eneo linaloitwa Kianja. Utawala wa
machifu ulikuwa unaendeshea shughuli za
kiutawala hapo na hadi leo hii jengo
lililokuwa likitumiwa na chifu bado lipo.
Hukumu zilitoleewa hapo na adhabu
halikadhalika. Moja ya adhabu hizo zilikuwa
ni kuwachapa wahalifu viboko. Kwa maana
hiyo kila aliyeshitakiwa na kuitwa, alijua
eneo hilo ndipo wanapochapiwa. Kwa kihaya
neno kupiga ni "kutela" na eneo wanapotolea
adhabu ya kuchapa viboko ni "Katerelo". Kwa
maana halisi neno hilo halina uhusiano na
mtindo wa kufanya mapenzi kama ambavyo
rais wa nchi anataka watu waamini.
Nihitimishe kwa kusema lugha ya kishwahili
imeundwa na maneno ya kibantu na lugha
ya kihaya ni lugha ya wabantu. Isishangaze
maneno kuingiliana na hata kama yana
maana tofauti. Kwa mfano; wanyakyusa
wanatumia neno "mwagona" likiwa na maana
ya salamu, wakati katika lugha ya kihaya
neno wagona lina maana ya "kukoroma"

Umemuelimisha Killaza Mkuu lakini unapoteza Muda kwani ana papara sana na wenye papara (ADD) kujifunza lugha ni ngumu. Ndio maana kwake "Furnace" anajua ni Finance , Congratulations anajua ni Congregations na by the way he is not "a Politicians" PHD my Foot!

Ok asante kwa tafasili nzuri.

Na ndiyo maana kwa ile staili yenu mnapiga hadi machozi yanatoka kwa mtindo wa kuruka
 
HIYO NI TAFSIRI YAKO.WACHA KUPINGANA KAMUSI SANIFU YA KISWAHILI.
 
Umemuelimisha Killaza Mkuu lakini unapoteza Muda kwani ana papara sana na wenye papara (ADD) kujifunza lugha ni ngumu. Ndio maana kwake "Furnace" anajua ni Finance , Congratulations anajua ni Congregations na by the way he is not "a Politicians" PHD my Foot!

Mzee wa intamingolingi
 
Back
Top Bottom