maana ya hili neno pls.

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
537
Baada ya ushindi wa Mnyika,na kwa nini amejifunika uso?
 

Attachments

  • IMG_5339.JPG
    64.1 KB · Views: 267
Baada ya ushindi wa Mnyika,na kwa nini amejifunika uso?
M'bebaji anajua hayo maneno hapo si mahala pake, ndo maana anajificha ! Kifupi anakusudia kusema: analolitaka Mwenyezi Mungu basi huwa !
" Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi kwa haki. Na anaposema: Kuwa ! Basi huwa (kun faya kun). Qur'an: Al An'am:6;73.
 
Asante kwa elimu.
 
Kiarabu ni ILM'U, kiswahili ni ELIMU.
Kiarabu ni KALAM, Kiswahili ni KALAMU.
Kiarabu ni DARSAH, Kiswahili ni DARASA.
UMEONA EEEEEEH !
kinyakyusa.a soapu,kingereza soap.
ngoma droi.
 

Ahsante kwa Ilmu akhera mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…