Maana ya Curaçao iGaming License

Maana ya Curaçao iGaming License

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,582
Reaction score
10,112
Katika muktadha wa betting (kamari mtandaoni), neno "Curaçao" linamaanisha leseni ya uendeshaji wa kamari mtandaoni inayotolewa na serikali ya Curaçao, ambayo ni eneo la ng’ambo la Uholanzi lililoko katika Karibiani.

Maana na Umuhimu:​

  • Curaçao eGaming License ni moja ya leseni maarufu zaidi duniani kwa makampuni ya kamari mtandaoni.
  • Makampuni mengi ya betting (kama vile kasino za mtandaoni na tovuti za michezo ya kubahatisha) hupata leseni kutoka Curaçao kwa sababu:
    • Ni rahisi zaidi kuipata kuliko leseni kutoka nchi nyingine (kama Malta au Uingereza).
    • Inaruhusu huduma kwa wateja wengi duniani, isipokuwa nchi chache zilizopigwa marufuku.
    • Kodi na masharti ya uendeshaji ni nafuu zaidi.

Unapokutana na “Licensed by Curaçao” kwenye tovuti ya betting:​

  • Inamaanisha tovuti hiyo imepata idhini ya kisheria kutoka Curaçao kufanya shughuli zake.
  • Hii inaweza kuwa kiashiria cha uhalali wa tovuti hiyo, lakini kiwango cha ulinzi kwa mchezaji si kikubwa sana ikilinganishwa na baadhi ya mashirika makubwa ya udhibiti kama UK Gambling Commission
  • Baadhi ya kampuni zenye leseni za Curacao ni
  • 1xbet , 888starz , Melbet , megapari , Afropari, n.k
 
Makampuni mengi yenye leseni ya huko hayana njaa, kumpa mteja bonus mteja laki 4 hayaoni kazi.
Vilevile hayana shida ya kumkata mteja 10% ya ushindi wakati kazi yenyewe ngumu hii.
 
Makampuni mengi yenye leseni ya huko hayana njaa, kumpa mteja bonus mteja laki 4 hayaoni kazi.
Vilevile hayana shida ya kumkata mteja 10% ya ushindi wakati kazi yenyewe ngumu hii.
Hiyo 10% niyaserikali mkuu
 
Hiyo 10% niyaserikali mkuu
Ndio maana wanachukua leseni huko Curacao kwa ajili ya kuoperate kimataifa kwa sababu masharti ni madogo sana.
Ila wakifika nchi za shithole serikali zinawabana watoe ten percent kwa washindi.
1xbet ilikuwaga free na wao siku hizi wanatoza.
 
Yes ukichukua lesini Ya tanzania nilazima mteja akatwe 10% na kampuni kama kampuni mnakatwa 30%
 
Back
Top Bottom