kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
Wadau samahani kuuliza si ujinga naomba kujuzwa maana ya clear cache kwenye simu hivi ukiclear hiyo cache maana umefuta nini? Au ina maana umefuta app yote?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] unafaa kua mwalimusubiri nikupe maana ku ' clear data ' kwanza
app kama instagram, ukiingia kwa mara ya kwanza utaweka username na password , ila next time ukiingia haikuambii uweke username/password, username na password ziliifadhiwa katika 'tinyDB' (aina ya storage) ya simu yako as 'data', so app inachofanya kila ukiifungua, izi data zinakua reloaded automatikali, ndio maana uki 'clear data' , zinafutika na ukifungua app itataka uweke tena user na passwd
nadhani tuko pamoja mpaka apo aya tuje 'clear cache'
Cache ni RAM kiduchu sana katika simu>cpu ambayo iko fastaa mno kuliko physical RAM ya kawaida.
Mfano 1: fungua website, kisha uwe una click 'links' ndani ya iyo web, iyo link ikifunguka click tena link yoyote tena na tena, aladu rudi kinyume kwa kuclick 'back'
Hapa utaona zile previous pages zina load fasta sana , hii inaonesha zilikua saved katika 'cache memory', kama ungepata ku clear 'cache' kisha uka click 'back' , izi pages zinge load tena upyaa (slower)! Sijui kama nimesomeka hapa!
Mfano 2: sasa tuje kwenye app ya simu kama whatsapp vile, unapo download image kwenye whatsapp, inaifadhiwa kwenye sim yako kama file, wakati huohuo path yake (sd_card/pictures/folder1/folder1/image.png ) huifadhiwa katika 'cache' ya simu, ili next time unapo 'view' ile image,
'path' yake ndio inakua 'reloaded' first, na kukupa iyo image(fasta), ILA unapo CLEAR CACHE, utaifuta ile kumbukumbu ya path kwenye 'cache memory' , ukitaka ku 'view' tena, sasa apo sim inabidi itume 'request' upyaa kujua file liko wapi, lipatikane ndio uletewe(slower), (hapa path itaifadhiwa tena kwenye 'cache memory' )
Utaona hapa mda wa ku view iyo image umeongezeka, japo ngumu sana ku notice hii kitu kwa hali ya kawaida!
Maelezo mengi ila nadhani nimejib swali lako kwa kuzunguka mno!
nimeongeza kitu[emoji122] [emoji122] [emoji122] unafaa kua mwalimu
nashukuru mkuusubiri nikupe maana ku ' clear data ' kwanza
app kama instagram, ukiingia kwa mara ya kwanza utaweka username na password , ila next time ukiingia haikuambii uweke username/password, username na password ziliifadhiwa katika 'tinyDB' (aina ya storage) ya simu yako as 'data', so app inachofanya kila ukiifungua, izi data zinakua reloaded automatikali, ndio maana uki 'clear data' , zinafutika na ukifungua app itataka uweke tena user na passwd
nadhani tuko pamoja mpaka apo aya tuje 'clear cache'
Cache ni RAM kiduchu sana katika simu>cpu ambayo iko fastaa mno kuliko physical RAM ya kawaida.
Mfano 1: fungua website, kisha uwe una click 'links' ndani ya iyo web, iyo link ikifunguka click tena link yoyote tena na tena, alafu rudi kinyume kwa kuclick 'back'
Hapa utaona zile previous pages zina load fasta sana , hii inaonesha zilikua saved katika 'cache memory', kama ungepata ku clear 'cache' kisha uka click 'back' , izi pages zinge load tena upyaa (slower)! Sijui kama nimesomeka hapa!
Mfano 2: sasa tuje kwenye app ya simu kama whatsapp vile, unapo download image kwenye whatsapp, inaifadhiwa kwenye sim yako kama file, wakati huohuo path yake (sd_card/pictures/folder1/folder1/image.png ) huifadhiwa katika 'cache' ya simu, ili next time unapo 'view' ile image,
'path' yake ndio inakua 'reloaded' first, na kukupa iyo image(fasta), ILA unapo CLEAR CACHE, utaifuta ile kumbukumbu ya path kwenye 'cache memory' , ukitaka ku 'view' tena, sasa apo sim inabidi itume 'request' upyaa kujua file liko wapi, lipatikane ndio uletewe(slower), (hapa path itaifadhiwa tena kwenye 'cache memory' )
Utaona hapa mda wa ku view iyo image umeongezeka, japo ngumu sana ku notice hii kitu kwa hali ya kawaida!
Maelezo mengi ila nadhani nimejib swali lako kwa kuzunguka mno!
Shukrani mkuu..subiri nikupe maana ku ' clear data ' kwanza

Mungu akubarikisubiri nikupe maana ku ' clear data ' kwanza

Uko vizuri kwenye hizi mambo.subiri nikupe maana ku ' clear data ' kwanza

Uko vizuri kwenye hizi mambo.
Naomba mm nikuulize swali
Simu yangu haisomi kwenye pc nikiconect na usb cable nimejaribu usb tofauti lakini wapi. Ila nikiconect za wengine zinasoma vizuru tu. Ni samsung j3
Thanks sana kiongozijarib 1: chukua mswaki wenye 'bristles' zilizosimama (mpya na maana), chukua na benzene au alcohol au thinner, safisha ndani mwa 'micro usb port' ( mle kwenye tundu), sugua zile 'golden contacts' japo ni ngumu kuziona kidogo, kama hutafanikiwa hii, ina maana port ni ya kubadili.
jarib 2: nenda kwa fundi hardware wa sim , wanabadili zile port wanaweka mupyaa, tatizo linaisha!