Maana ya "be"

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Naomba kujua maana halisi ya hili neno "be" kwa maana nashindwa kujua naambiwa kwa wakati huu verb be itakua was au itakua will au itakua have sasa nashindwa kulekewa hasa ni kitu gani hiki be
 
Be tuseme ni kama chumvi kwenye pishi, pishi lolote inaishi
 
Verb be ni (is was are were am being )
 
Be uki + e = bee.........nyuki [emoji219][emoji219][emoji219]
 
A verb is a word that in syntax generally conveys an action, an occurrence, or a state of being. In the usual description of English, the basic form, with or without the particle to, is the infinitive. In many languages, verbs are inflected to encode tense, aspect, mood, and voice.
 
Kwa kiswahili ndio nn mkuu?
 
Naomba kujua maana halisi ya hili neno "be" kwa maana nashindwa kujua naambiwa kwa wakati huu verb be itakua was au itakua will au itakua have sasa nashindwa kulekewa hasa ni kitu gani hiki be
"be" Ni kitenzi kinachoonesha hali ya kuwa mtu fulani au kitu fulani au ktk hali fulani.Verb to be ni is,are,am,was,were,mf.lam a student ,am Ni verb to be ikiwa na maana Mimi Ni mwanafunzi.She is sick.is is verbto be,it shows a state of being sick.
 
Kama umeishia la saba hii Be kuilewa itakupa shida

Lakini be maana yake Ni kuwa Ni kitenzi au unaweza kuita verb kwa kingereza
Past tense yake Ni been .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…