maana ya amani


F

fidodido

Member
Joined
Jan 5, 2011
Messages
85
Likes
4
Points
15
F

fidodido

Member
Joined Jan 5, 2011
85 4 15
wana JF salute!

Obama amehutubia umoja wa mataifa na kueeleza maana ya amani na hapa nanukuu " Peace is not just absence of war. True peace depends on creating the opportunity needs life worth living" mwisho wa nukuu.

sasa watawala wetu kila siku wansema tuna amani je hiyo ni kweli? umaskini, njaa, miundombinu mibovu, rushwa , ufisadi na kadhalika NDIYO AMANI?
 

Forum statistics

Threads 1,238,219
Members 475,878
Posts 29,313,172