maana halisi ya ushamba mzigo

Huyo atakuwa muha wa kigoma yaani mpaka kwenye treni lakini mzigo kichwani
 
Mkuu hapo sio ushamba tu, kama hiyo gar inatembea, (na inaonesha hivyo) huyo jamaa amerisk sana maisha yake, na hata anayempiga picha ameshindwa kumwambia. Labda iwe ni edit.
 
Kaogopa vumbi la cement kuchafua begi lake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…