Nisaidie operation iliofanywa na SWAT nje ya USA.Watu wengi wanawajua SWAT kwa Kazi za uncontrably Riot, crowd control au intensive robbery hawajui kwamba wale jamaa huwa wanafanya hadi counter terrorism na vita ya madawa kwa kupeleleza na kufanya ambush ndani na nje ya mipaka ya nchi wakishirikiana na Jeshi la marekani US army.
They are massive and everywhere.
Usichanganye na navy sealWatu wamezoea kuwaona SWAT wakifanya Kazi za ndani ya nchi wanahisi jamaa wana jurisdiction ya ndani ya nchi pekee. Hapana SWAT kama special force zingine zozote zile wana mandate ya kufanya Kazi ndani na nje ya nchi sema inakuwaga confidential.
SWAT is just a law enforcement unit, kitengo maalum cha polisi.Ni polisi tu.. Mpango wa kutisha ni navy seal
Navy seal hawana tofauti na komando wenzao wa Spetnaz ya Russia wao nguvu, uvumilivu, uwezo wa kuignore high level of pain ndio wanamudu zaidi ndio maana akili zinapungua but SWAT wako more technical, more brainiac, more modern maguvu yanafuata baadae.Ni polisi tu.. Mpango wa kutisha ni navy seal
Nani kakuambia navy seal akili zimepungua... Those people are intelligentNavy seal hawana tofauti na komando wenzao wa Spetnaz ya Russia wao nguvu, uvumilivu, uwezo wa kuignore high level of pain ndio wanamudu zaidi ndio maana akili zinapungua but SWAT wako more technical, more brainiac, more modern maguvu yanafuata baadae.
Mimi sijakataa hili! Ila nawakubali wako kuwa more tactical, more modern, more brainiac. e.t.c sipendi Soja wanaotumia nguvu pekee with less tactics.SWAT is just a law enforcement unit, kitengo maalum cha polisi.
Duh Navy Seal akili zinapungua? Ngoja nilale Tu.Navy seal hawana tofauti na komando wenzao wa Spetnaz ya Russia wao nguvu, uvumilivu, uwezo wa kuignore high level of pain ndio wanamudu zaidi ndio maana akili zinapungua but SWAT wako more technical, more brainiac, more modern maguvu yanafuata baadae.
Wale wavunja Matofali tu kama hawa wa hapa Lugalo. Kazi kuogelea na buti na kombati afu akili ziwe sawa? Miongoni mwaka vikosi vilivyofyatuka akili Navy na Spetsnaz ni vichaa wale. Kuna nati zishafyatuka kichwani. Kwanza wengi huwa wamefundishwa kuignore pain, hii tu technically inawafanya wawe mental retarded. [emoji16]Nani kakuambia navy seal akili zimepungua... Those people are intelligent
Hao ni polisi mkuu. Wanakuja kwenye tukio lililowashinda polisi wa kawaida. Unakubali ni law enforcement unit, jeshi ni law enforcement unit?Mimi sijakataa hili! Ila nawakubali wako kuwa more tactical, more modern, more brainiac. e.t.c sipendi Soja wanaotumia nguvu pekee with less tactics.
Huwajui Navy Seals.Wale wavunja Matofali tu kama hawa wa hapa Lugalo. Kazi kuogelea na buti na kombati afu akili ziwe sawa? Miongoni mwaka vikosi vilivyofyatuka akili Navy na Spetsnaz ni vichaa wale. Kuna nati zishafyatuka kichwani. Kwanza wengi huwa wamefundishwa kuignore pain, hii tu technically inawafanya wawe mental retarded. [emoji16]
Special Weapon And Tactic.SWAT - Special Weapon Attack Team
Na kweli naomba na mimi nilale tu maana muda ndio hii ya kula chakula cha wakubwa. [emoji112]Duh Navy Seal akili zinapungua? Ngoja nilale Tu.
Sijui unaongea ujinga gani... Kuna general mkubwa tu na amepitia navy seal kama ingekuwa inazalisha machizi angefikaje juuWale wavunja Matofali tu kama hawa wa hapa Lugalo. Kazi kuogelea na buti na kombati afu akili ziwe sawa? Miongoni mwaka vikosi vilivyofyatuka akili Navy na Spetsnaz ni vichaa wale. Kuna nati zishafyatuka kichwani. Kwanza wengi huwa wamefundishwa kuignore pain, hii tu technically inawafanya wawe mental retarded. [emoji16]
Huelewi mifumo ya kipolisi ya marekani according to their modified laws. SWAT sio paramilitary tena though inafanya Kazi na Polisi ndio maana wako endorsed hata kutoka nje ya mipaka na kufanya Kazi bila kuwasiliana na Interpol. Refer ishu ya operations ya mihadarati huko Mexico wanapiga Kazi na CIA, pamoja na US army bega kwa bega. Kasome tena. Itakusaidia mkuu.Hao ni polisi mkuu. Wanakuja kwenye tukio lililowashinda polisi wa kawaida. Unakubali ni law enforcement unit, jeshi ni law enforcement unit?
Ila tusibishane sana.. Mi naamini seal ni shidaWale wavunja Matofali tu kama hawa wa hapa Lugalo. Kazi kuogelea na buti na kombati afu akili ziwe sawa? Miongoni mwaka vikosi vilivyofyatuka akili Navy na Spetsnaz ni vichaa wale. Kuna nati zishafyatuka kichwani. Kwanza wengi huwa wamefundishwa kuignore pain, hii tu technically inawafanya wawe mental retarded. [emoji16]
Kwenye upande wa akili zaidi ni FBI.Navy seal hawana tofauti na komando wenzao wa Spetnaz ya Russia wao nguvu, uvumilivu, uwezo wa kuignore high level of pain ndio wanamudu zaidi ndio maana akili zinapungua but SWAT wako more technical, more brainiac, more modern maguvu yanafuata baadae.
Mkuu trust me ni wachache wanapita Navy seal safe the rest huwa wanapata very big psychological damage kutokana na training kuwa intensive and inhumane. Hata human right watch walimind wakasema Navy seal training is beyond human ability. Wale watu wakimaliza mafunzo wanakuwa very suicidal and distorted. Mafunzo ni SWAT pekee wako very tactical, very brainiac, ni akili kwanza mwili na maguvu baadae. Ndio maana hata USA army wanawatumia sana kwenye joint operations zao za kijeshi.Sijui unaongea ujinga gani... Kuna general mkubwa tu na amepitia navy seal kama ingekuwa inazalisha machizi angefikaje juu
FBI, CIA ni akili zaidi ila hawana utendaji mzuri zaidi field kwenye zile CQB yaani close quarter Battle ndio kinachowatofautisha zaidi na SWAT ambao wao wako poa kiakili na utimamu wa mwili. Wako poa field na darasani pia.Kwenye upande wa akili zaidi ni FBI.