Maana halisi ya ndoa ni nini?

Maana halisi ya ndoa ni nini?

Unbelievable

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
262
Reaction score
115
Wana jamvi habarini za usiku,

Poleni na kazi ya kuendelea kujenga taifa la mafisadi. Wakati tunapoendelea na kuondoa stress za hapa na pale kupitia chombo hiki kitukufu na adhimu kabisa. Naomba kujua maana halisi ya ndoa ni nini?


Mnisaidie hili tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Unbelievable

Unataka kwa mujibu wa vitabu vya Dini au katiba au mila na dasturi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom