Maana halisi ya jina la ROSTAM hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana halisi ya jina la ROSTAM hii hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Dec 30, 2010.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Rostam (Persian: رستم, pronounced [ɾostæm, ɾʊstæm]) is the national hero of Greater Iran in Persian mythology. Rostam is the champion of champions. As a young child, he slays the maddened white elephant of the king with just one blow of the mace owned by his grand father. He then tames his legendary stallion, Rakhsh. Persian rumour has it that the name 'Rostam' is actually based on a historical character named "Retzehem", who was believed to be an Achaemenid general. Retzehem supposedly helped the Persians conquering the city of Sardis by climbing up the walls, throwing a rope and pulling up his fellow soldiers.

  There are some interesting similarities between the legends of Rostam and those pertaining to the great Irish hero, Cúchulainn. They both defeat a ferocious beast as a very young man, slay their sons in combat, are virtually invincible in combat, and are murdered by treachery while killing their murderer on their last breath. It is written by the Royal Central Asian Society in the Journal of the Royal Central Asian Society that the struggle between Rostam and the white demon represents a struggle between Persians and invaders from the north, from the Caspian provinces in Iran.

  Historia ya Rostam Aziz wa Tanzania

  Rostam amehusika na kashfa zote kubwa za ufisadi Tanzania and he remains untouchable.


  He is the most powerful man in Tanzania because:


  1. Ndiye aliyemuweka Kikwete kuwa Rais wa Tanzania 2005


  2. Amemuondoa Samuel Sitta kama Spika wa Bunge na kumweka puppet wake Anne Makinda


  3. He controls key leaders in opposition parties (wakiwemo baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA, NCCR and CUF - wanajulikana)


  4. Ndiye atakaye mchagua Rais wa Tanzania 2015.


  BACKGROUND

  Mwanasheria Mkuu wa serikali (AG), Frederick Werema, amesema kuwa Rostam Aziz ndiye amepewa "power of attorney" kuwa mwakilishi wa Dowans Holdings AS na Dowans Tanzania Limited.

  A power of attorney (POA) is a legal document allowing one person (in this case Rostam) to act in a legal matter on another's behalf (Dowans) regarding to financial transactions. This legal document gives Rostam legal rights of law to speak and sign documents for Dowans. It gives Rostam written authorization to execute actions on behalf of Dowans, such as accepting payments and moving funds.

  Kwa lugha nyepesi, Rostam ndiyo Dowans na malipo yanayotaka kulazimishwa na serikali ya shilingi 185.5 billion shillings atalipwa Rostam kwa niaba ya Dowans.

  Rostam alitajwa na ripoti ya kamati ya Bunge ya Richmond iliyoongozwa na Harrison Mwakyembe kuwa alihusika na Richmond/Dowans lakini amekuwa akikanusha vikali jambo hili.

  Hatimaye leo serikali ya Kikwete inajiandaa kulipa pesa hizi za wavuja jasho wa taifa hili kwa njia za kifisadi, Rostam anajitokeza hadharani kuwa ndiye msimamizi mkuu wa shuhuli zote za Dowans hapa Tanzania.

  Uhalifu huu huu wa "power of attorney" ulitumiwa na watuhumiwa wa ufisadi wa rada -- Tanil Somaiya na Shailesh Vithlani -- wakati walipokuwa wasimamizi wa kampuni ya offshore kama Dowans ambayo ilipewa $12 million na BAE Systems kupitia akaunti ya benki ya Uswisi ambazo zilitumika kugawa rushwa ya rada kwa kina Andrew Chenge, Dk. Idris Rashidi, na vigogo wengine wa serikali ya Mkapa.
   
 2. F

  Fareed JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
 3. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  na ndio maana ana kampuni yake moja caspian .........

  kweli na majini yanawadhuru wanaoamini majini. ndo maana imekuwa rahizi kumwamini jk kwani ni muumini wa majini pia!
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini watanzania tunakubali kutawaliwa na muajemi????????????????????????????????????
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  I wish nongekuwa jeshini....na mwanachama wa JF.......
   
 6. n

  njemba fulani Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utakuta na huyu nae anajiita great thinker!wajameni usipostaajabu ya musa utayaona ya firauni!!!vichwa hv ndo vinadumisha maendeleo ya tz,yaani watu wengine lazima waangalie kila kitu kwa udini!!!
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Guys Rostam is clean!! we have place for criminals and because he is still hanging around then the problem is not his!! the problem is us!! we are problem ,mnachofanya hapa ni kulaani tu, dua la kuku! mkiambiwa sometime violence ndiyo solution mnasema busara iwepo! shut up!!
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  umesahau NDIYE MWENYE MTANDAO MKUBWA KABISA WA SIMU TANZANIA VODACOM LAKINI KWENYE LARGE TAXPAYERS HAIPO!TTCL INAISHINDA VODA KWA KULIPA KODI TRA
   
Loading...