Maamuzi ya wazazi

Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,696
1,062
Habari wandugu
kwa niaba ya rafiki yangu naomba mchango
"Nina BF ambaye ameniletea posa home na kupangiwa mahali wikend iliyopita
kabla ya kupanga mahali home waliniuliza nikawatajia kiwango ambacho ni reasonable hata mpenzi wangu alikua anafiiria ingerange hapo,kumbe cjui home walinijoke walivyojibu barua wakafanya mara 2.5 ya ile waliyoniuliza .
sasa nikashindwa elewa wazazi wana mpango gani lakini pia ctaki waingilia ,mpenzi wangu anasema hawawez kua serias watakua hawajamkubali wameamua kumkataa kiaina nishaurini hivyo haelew kama kuna ndoa hapo na huo ni mwanzo tu je huko mbele itakuaje.
Naomba kuwasilisha
 
Rudi tena kwa wazazi ukaulize vp mbona mme weka Mahari tofauti na nilikubali?
 
Habari wandugu
kwa niaba ya rafiki yangu naomba mchango
"Nina BF ambaye ameniletea posa home na kupangiwa mahali wikend iliyopita
kabla ya kupanga mahali home waliniuliza nikawatajia kiwango ambacho ni reasonable hata mpenzi wangu alikua anafiiria ingerange hapo,kumbe cjui home walinijoke walivyojibu barua wakafanya mara 2.5 ya ile waliyoniuliza .
sasa nikashindwa elewa wazazi wana mpango gani lakini pia ctaki waingilia ,mpenzi wangu anasema hawawez kua serias watakua hawajamkubali wameamua kumkataa kiaina nishaurini hivyo haelew kama kuna ndoa hapo na huo ni mwanzo tu je huko mbele itakuaje.
Naomba kuwasilisha

mchangie sababu unampenda zaidi ya hapo hakuna ushauri zaidi ya pole...
 
Habari wandugu
kwa niaba ya rafiki yangu naomba mchango
"Nina BF ambaye ameniletea posa home na kupangiwa mahali wikend iliyopita
kabla ya kupanga mahali home waliniuliza nikawatajia kiwango ambacho ni reasonable hata mpenzi wangu alikua anafiiria ingerange hapo,kumbe cjui home walinijoke walivyojibu barua wakafanya mara 2.5 ya ile waliyoniuliza .
sasa nikashindwa elewa wazazi wana mpango gani lakini pia ctaki waingilia ,mpenzi wangu anasema hawawez kua serias watakua hawajamkubali wameamua kumkataa kiaina nishaurini hivyo haelew kama kuna ndoa hapo na huo ni mwanzo tu je huko mbele itakuaje.
Naomba kuwasilisha

Nadhani arudi kwa wazazi wake akazungumze nao vizuri kuna kitu ataelewa kama ni mahali tu kama kuna zaidi ya hapo.Mchumba wake hawezi akawa anajua msimamo wa hao wazazi,means huyo mdada aende kulonga na wazazi wake atapata kujua tatizo liko wapi!!!!!!!!
 
mahari pia ni negotiable!!! aisogope!!! awe ngangari!!! wanapokutana wakubwa hakunaga linaloharibika!!!
 
Habari wandugu
kwa niaba ya rafiki yangu naomba mchango
"Nina BF ambaye ameniletea posa home na kupangiwa mahali wikend iliyopita
kabla ya kupanga mahali home waliniuliza nikawatajia kiwango ambacho ni reasonable hata mpenzi wangu alikua anafiiria ingerange hapo,kumbe cjui home walinijoke walivyojibu barua wakafanya mara 2.5 ya ile waliyoniuliza .
sasa nikashindwa elewa wazazi wana mpango gani lakini pia ctaki waingilia ,mpenzi wangu anasema hawawez kua serias watakua hawajamkubali wameamua kumkataa kiaina nishaurini hivyo haelew kama kuna ndoa hapo na huo ni mwanzo tu je huko mbele itakuaje.
Naomba kuwasilisha

Pole sana!! Hata vijana wangu nimewaasa kuwa suala la mahari lisiwe central kwa watoto wao wa kike wakitaka kuolewa!!! Hakuna mtu anaweza kunilipa gharama za kumlea, kumvisha na kumsomesha binti yangu!! Sana sana atatoa asante ambayo ni hasa kwa mama na shangazi zake kimila ambazo si hela nyingi!!! At the same time sitaki kujiaibisha kwa kutaka kutumia mabinti kama vitega uchumi!! No one can repay, the investment I had incurred for my daughters, no one!!!

Waeleweshe wazazi eti heshima yao intaongezeka zaidi kama tena watatoza mahari kidogo na wasipokusikia na kama mnapendana nyie amueni tu!!! Ukiwaambia una kamimba kwa miezi 2 watakuambia nenda bure!!! Watumie busara zaidi.
 
Polle, ila kwanza ujue kwa mila nyingi za kiafria/ kitanzania mahari watu hubargain na pia mahari hailipwagi yote ndo maana wameweka mara mbili ili hiyo mara moja alipe hiyo anayeweza
 
Habari wandugu
kwa niaba ya rafiki yangu naomba mchango
"Nina BF ambaye ameniletea posa home na kupangiwa mahali wikend iliyopita
kabla ya kupanga mahali home waliniuliza nikawatajia kiwango ambacho ni reasonable hata mpenzi wangu alikua anafiiria ingerange hapo,kumbe cjui home walinijoke walivyojibu barua wakafanya mara 2.5 ya ile waliyoniuliza .
sasa nikashindwa elewa wazazi wana mpango gani lakini pia ctaki waingilia ,mpenzi wangu anasema hawawez kua serias watakua hawajamkubali wameamua kumkataa kiaina nishaurini hivyo haelew kama kuna ndoa hapo na huo ni mwanzo tu je huko mbele itakuaje.
Naomba kuwasilisha

Mahari hailipwagi yote, mnanegotiate kwanza na wazee plus kiasi ambacho ataweza kulipa then in the mean time mnaendelea na mambo mengine, mi najua watu ambao wamekua mpaka na watoto watatu mahari bado haijaisha.
Njia nyingine ni wewe kuwaelezea wazazi wako pia kuhusu uwezo wa boifulendi wako.
 
Nilikutana na swala kama nilipo kwenda kumchumbia mke wangu. Awali aliulizwa kuhusu kazi yangu na uwezo wangu kwa ujumla na kiasi gani cha mahali ambacho yeye angeona kina faa. Kumbuka hiyo ilikuwa kabla sijapeleka barua ya uchumba ni wakati tu yeye alipowambia kwamba kuna wa2 wanataka kuja kujitambulisha na nini. Basi mchumba wangu akaja kunidokeza yaliyo jili kwenye kulitambulisha suala hilo. Mzee mi nikaandaa timu yangu ya watu wa 3 nikaandika barua jamaa wakaipeleka. Basi kilichotokea ni tofauti kabisa, wakwe katika kujibu ile barua waliorodhesha vitu kibao pamoja na fedha taslimu vyenye thamani ya karibia mara 3 ya ile aliyo pendekeza mchumba wangu. Sasa nitafanyaje , mzee sikukata tamaa, nikamwambia mshenga awambie kwamba siku fulani ujumbe wetu ungekwenda kuonana nao ukiongozwa na mimi mwenyewe. Siku ilipofika wazee tukatia timu , sasa katika utambulisho mshenga akanitambulisha kuwa huyo ndo bwana harusi mtarajiwa. Basi upande wa wakwe wote uligeuzia macho kwangu na kunitizama. Ikaja sasa wakati wa kueleza dhumuni la ujio wetu, mshenga akaeleza na tukaomba kupunguziwa kiasi cha mahali pamoja na kupunguziwa baadhi ya vitu. Tukatakiwa kuorodhesha vitu gani tungependa vipunguzwe pamoja na fedha taslim sh. ngapi. Basi baada ya kukabidhi ile orodha walitoka kidogo kujadili na kurudi na orodha mpya yenye punguzo japo lilikuwa siyo punguzo kubwa. Basi tukapangiwa tarehe ya kutoa mahali basi tulipeleka japokuwa hatukumaliza lakini mambo yalienda tu vizuri tukafunga ndoa mpaka leo ninayo my wife. Hivyo mwambie mchumba wako asikate tamaa atume wazazi wake na mshenga waende kuongea na wazee wenzao mambo yataenda tu vizuri.
 
mchumba na nduguze wanatakiwa kunegotiate mahari....pia mahari huwa hailipwi yote asihofu
 
Uko sahihi kabisa mamito. Na isitoshe mahari kwa makabila mengi huwa hailipwi yote, lazma ukope kidogo usijesema umemnunua.
mahari pia ni negotiable!!! aisogope!!! awe ngangari!!! wanapokutana wakubwa hakunaga linaloharibika!!!
 
Akope benki, si kila anaekopa bank anataka kujenga au kununua gari!!!!!!! Kopeni muoane! OTHERWISE BEBA MIMBA WAAKUPELEKA BUREEEEEEE!!!!!! TENA KWA KUMBEMBELEZA MUHUSIKA!!!!!!!
 
Pole sana!! Hata vijana wangu nimewaasa kuwa suala la mahari lisiwe central kwa watoto wao wa kike wakitaka kuolewa!!! Hakuna mtu anaweza kunilipa gharama za kumlea, kumvisha na kumsomesha binti yangu!! Sana sana atatoa asante ambayo ni hasa kwa mama na shangazi zake kimila ambazo si hela nyingi!!! At the same time sitaki kujiaibisha kwa kutaka kutumia mabinti kama vitega uchumi!! No one can repay, the investment I had incurred for my daughters, no one!!!

Waeleweshe wazazi eti heshima yao intaongezeka zaidi kama tena watatoza mahari kidogo na wasipokusikia na kama mnapendana nyie amueni tu!!! Ukiwaambia una kamimba kwa miezi 2 watakuambia nenda bure!!! Watumie busara zaidi.

Mzee nimeupenda ushauri wako nitafikisha
 
Back
Top Bottom