Uwekezaji wa kiwango cha Mo sio wakuchezewa.
Kawekeza kwenye nini?!Uwekezaji wa kiwango cha Mo sio wakuchezewa.
Kupoteza karibu bil 700 kwa mwaka sio jambo dogo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtekeni tena mumnyang'anye hadi uhai wake ndio mfurahi.MO nae muongo hasara ya billion 700 sio mchezo trion kasoro milioni 300 hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Najuta kuandika neno free Mo.Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo nakuendelea na biashara zake.
But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder.
Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu.
Wazungu wanasema kama kuna jambo kubwa limetokea na unataka kulijua vizuri, fuatilia pesa - Follow the money!
Sasa tusaidiane kuunganisha dots...
1.Nadhani wengi tunadhani mhusika nyuma ya kutekwa kwa watu na watu wasiojulikana tunamjua.
2.Mo ametekwa na amerudi kwenye mazingira yenye maswali mengi bila majibu mpaka sasa.
3.Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700.
4.Yule tunayemdhania kuwa boss wa wasiojulikana anakuwa tajiri ghafla na kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa watu na chama.
5.Baada ya Mo kujiuzulu na ghafla kujirudishia uenyekiti wa bodi ya timu,mtu huyo anatokea tena kwa kuteuliwa na Mo kama mshauri mkuu wa club.
Kuna mtu anaweza kunisaidia kuunganisha hivi vitu?
Sielewi elewi!
Sent using Jamii Forums mobile app
usemacho kinajionyesha wazi, MO anachoakiwa atoke akapumzike nje ya NCHI kwa muda huenda atatulia, lkn ni wzi BASHITE KASIKA AKILI ZA HUYU MTU, na hakuna mwisho mwema baina ya hawa wawili.Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo nakuendelea na biashara zake.
But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder.
Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu.
Wazungu wanasema kama kuna jambo kubwa limetokea na unataka kulijua vizuri, fuatilia pesa - Follow the money!
Sasa tusaidiane kuunganisha dots...
1.Nadhani wengi tunadhani mhusika nyuma ya kutekwa kwa watu na watu wasiojulikana tunamjua.
2.Mo ametekwa na amerudi kwenye mazingira yenye maswali mengi bila majibu mpaka sasa.
3.Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700.
4.Yule tunayemdhania kuwa boss wa wasiojulikana anakuwa tajiri ghafla na kuanza kutoa misaada mbalimbali kwa watu na chama.
5.Baada ya Mo kujiuzulu na ghafla kujirudishia uenyekiti wa bodi ya timu,mtu huyo anatokea tena kwa kuteuliwa na Mo kama mshauri mkuu wa club.
Kuna mtu anaweza kunisaidia kuunganisha hivi vitu?
Sielewi elewi!
Sent using Jamii Forums mobile app
MO nae muongo hasara ya billion 700 sio mchezo trion kasoro milioni 300 hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hana uwezo wa kuyafanya hayo bila ya idhini, tusidanganyane!
Mkuu mng'ato, hiyo Tsh700 bilioni ni kama $300 na ushee milioni tu.'3.Mwaka ambao Mo ametekwa anapost hasara ya karibu billion 700'
Impossible,akipoteza Tsh.bil 700 yeye utajiri wake ni Tsh ngapi?
IMPOSSIBLE
dodge