Maamuzi ya Mbowe yapingwa Sikonge

Cuf nao kila kukicha wanatuletea minzengwe kwanini Wagombea wa cuf hawakuwepo waridhike na maamuzi ya viongozi wa UKAWA
 
una point mkuu ila, ungebainisha na madhara ya kuwa na wagombea wawili wakiwa wote wa ukawa. Vinginevyo watu watashindwa kukubaini unashambulia(side attack) ukitokea upande upi uko ukawa ama ccm.
Niko neutral na ninaongea hali halisi (na ya kisheria) ambayo haiwezi kubadilishwa sasa.
 

na ccm wanahuska kuchochea vurugu hapo
 
Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....

Cheap politics.....!!!

Kim nana (Kinana) ulishamaloza tembo wetu bora ungenyamamza tu!
 

Jibu unalo mwenyewe chagua unayemtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…