Only Ukawa can do that sharp-witted trick! kama aliyoifanya leo Mbowe hapa Nzega, kawashika wagombea wawili wa ubunge waliokuwa ktk utata wa maamuzi akawashika mikono na kuuliza umma ni yupi waliyempenda! then huyo ndiye atapeperusha bendera ya ubunge kwa ticket ya ukawa, bila kujali chama chake period!!
Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....
Cheap politics.....!!!
why you judge it that comrade, we are supposed to treat our enemies as well as they can treat us
kwa nini mgombea wa cuf hakuhudhuria mkutano wa ukawa.
Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....
Cheap politics.....!!!
tunaelekea libya
Kwani aliyekuwepo alipiga kampeni? Kama hajapiga hakuna 7bu ya kulalamika. Mbowe alikuwa analazimika kutoa ufumbuzi papo hapo maana hakuna muda tena.
Kwa maoni yangu wanjisumbua bure kutafuta mgombea mmoja sasa, kwa sababu wote wameshapitishwa na NEC na watakuwepomkwenye ballot paper. Wanachotakiwa kufanya ni kuwapigia kampeni wote tu katika majimbo ambayo hawakupata mwafaka wa mwakilishi mmoja maana hawana njia. Waache wapiga kura wataamuaikawa hivi mkuu' wana cuf hawatambui ukawa tena endapo kama mbowe ataendelea na msimamo wake wa kumsimamisha mbunge wa cdm kwa tiketi ya ukawa, na wao watamsimamisha wa kwao maana wameshindwa kufikia muafaka kati ya cuf vs cdm. sijui umenielewa
Kama ni rahisi hivyo basi wangewapa zoezi la kuvuta kamba Slaa na Lowasa, ambaye angeibuka mshindi ndo angepewa nafasi ya kugombea urais....
Cheap politics.....!!!
Kwa maoni yangu wanjisumbua bure kutafuta mgombea mmoja sasa, kwa sababu wote wameshapitishwa na NEC na watakuwepomkwenye ballot paper. Wanachotakiwa kufanya ni kuwapigia kampeni wote tu katika majimbo ambayo hawakupata mwafaka wa mwakilishi mmoja maana hawana njia. Waache wapiga kura wataamua
NI baada ya mgongano tangu kuteuliwa said nkumba kuwakilisha chadema ambapo cuf nao walimchagua bwana KIPEPE kuwakilisha.
lakini hatimaye nkumba alirudi tena ccm ndipo kipepe alibaki strong stand, lakini baadaye tena cdm ikateua tena mtu mwingine bwn hija ndipo cuf walipogoma ukigeugeu huo wa mbowe na wafuasi wake.
ndipo leo tena alipofika kamanda mbowe na kutaka watu wapige kura kwa kunyoosha mikono badala ya maafikiano ya kuachiana majimbo. ili kupata mwakilishi mu1 wa UKAWA
ndipo cuf walipogoma kuafiki kwani hata mgombea wa cdm alipita kwa kunyoshewa mikono(kura ya hadhara) mgombea mwenzake wa cuf hakuwepo!
then wewe mwana ukawa una maoni gani kuhusu demokrasia hii mbowe vs cuf_"
Mimi niliiangalia ile taarifa ya habari ila nakumbuka kuona nae mgombea wa cuf kusimamishwa na Mbowe kama ilivyofanyika kwa mwenzie. Nikikumbuka vizuri wa cuf alipata mikono michache zaidi ya mwenzie. Labda mleta uzi atuhakikishie tulieonyeshwa kama alikuwa mwakilishi wa mgombea na sio vinginevyo. Muda uliobakia wa kampeni ni mchache hivyo Mbowe asingekuwa na njia nyingine ya haraka kuliokoa jimbo kuangukia mikono ya ccm.hujanielewa wapi mkuu nikufamishe/niboreshe
mayala masuka sauti ya wengi ni sauti ya mungu....mbowe alikuwa sahihi kabisa kuhakikisha anamaliza mgongano wa kugombea jimbo..ameuliza wapiga kura ambao walikuwepo hapo uwanjani nao wamemchagua wamtakaye..sasa mtu wako kama hakuridhika aendelee na kampeni kivyake na mungu amsaidie ashinde lakini nakuhakikishia hatashinda...Mbowe hongera sana kwa busara zako
Mimi niliiangalia ile taarifa ya habari ila nakumbuka kuona nae mgombea wa cuf kusimamishwa na Mbowe kama ilivyofanyika kwa mwenzie. Nikikumbuka vizuri wa cuf alipata mikono michache zaidi ya mwenzie. Labda mleta uzi atuhakikishie tulieonyeshwa kama alikuwa mwakilishi wa mgombea na sio vinginevyo. Muda uliobakia wa kampeni ni mchache hivyo Mbowe asingekuwa na njia nyingine ya haraka kuliokoa jimbo kuangukia mikono ya ccm.
swali zuri
No!! not cheap to me!!Ni rahisi sana mbona! agombee yule wananchi wanamkubali, it doesn't need a PHD holder to work that one out sir!!even lofa kama mimi naweza pata jawabu hilo bila wasiwasi!!